CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Wamasai wapo wa aina hizi:
1. Waarusha hawa hufanana mambo mengi na kabila la wameru. Hufanana pia na wachagga kwa mambo mengi. Wengi wao wana exposure maana wamesomasoma kidogo!
2. Wamasai wa porini. Hawa ndio wamasai OG
Watu wengi hawafahamu tofauti Kati ya hawa watu.