Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mbona mimi nimeachana na mwanamke mmasai juzi tu!Wamasai, hii ndio jamii pekee ambayo ukiingia nayo kwenye mahusiano ya kimapenzi, haina historia ya kuvunja mahusiano
Kwa mmasai ni kufa na kuzikana