cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kiukweli Mimi maisha ni zaidi ya dudu Yani uwe na dudu tu huku una tabia mbovu utegemee nitakukubali never on earth aisee.Oh Sawa...ungempa dudu angekupiga nyama...lakini hivi unawezaje kuwa na mahusiano na MTU bila kumpa dudu? Mimi demu siwezi kukaa nae kwenye mahusiano bila kumla..nikiona hamna mwelekeo siku ya kwanza Tu akikataa basi....siku hizi nyie si wagumu Kama zamani...
Yes sikuhizi kupata k ni rahisi mno shida kupata real love na mtu mwenye intimacy naye ni changamoto sana, you can https://jamii.app/JFUserGuide anyone ila kumpata soul mate wako ni mtihani