mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Mbona Kama namjua uyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naachaje kujiengue lazima ukutane na partner msaidiane maisha Sasa yeye ha contribute chochote huko sikujitaftia majanga aisee, na bado ana watoto hujazaa wako hapo lazima uwe kichaa na umaskini ubishe hodi