Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

Wana nini cha zaidi...mada imepwaya...ipe nyama......
Mbona dada zenu tunasikia hawana viantena....
Mmasai wa porini hana wivu hata umletee mwanamke mwingine kitandani mwake hatagomba.
 
Mnajipigia promo tu, na je ni jinsia yoyote awe mmasai ke au me ? Unahisi ni kwanini hawaachi?
Nafikiri zaidi ni upande wa ke.
Wao wamekuzwa kwenye mfumo kandamizi, hawana sauti, kila kitu ndio.
Chanzo cha mahusiano mengi kuvunjika ni Wivu wa kimapenzi hasa mwenza akicheat.
Sasa wanawake wa kimasai wamekuzwa kwenye jamii inayooa wanawake wengi, tena wao wakifikia umri flani ndio huenda kuwatafutia waume zao mabinti wa kuoa kabisa.
So mmasai hata mume akitembeze vipi kwa sio habari kamwa.
Huu ni uzoefu wangu mdogo.
 
Kuna ukweli na uongo pamoja
 
Ni difficult people na hupenda kununa nuna pia sio responsible kivile ukiwa naye ujue utalea familia mwenyewe
Kimsingi ulichemka sana zaidi watakuachia "kovu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asomaye na aelewe.
Wamasai/waarusha ni jamii ngumu isiyopenda kubadilika.
Wanafaa kukulana na kuoana wao.
Wanamfumo dume uliopitiliza.

1. Wamasai wako kama simba...jike hutafuta chakula na kufanya kazi ngumu

2. Midume kazi yao kubeba fimbo/ kukaa vjiweni kunywa chai na vitumbua tu

3. Midume inapenda kazi nyepesi tu.
4. Wanawake ndio wanajenga, kusomesha na kulisha familia.
Hii ni jamii itawezana wao kwa wao.
Wewe mchaga ukijiingiza huko ujue mnakulana kwa muda na uchape lapa kwani mmejaa usongo wa maendeleo.
 
Best hukunitonya mapema, uzuri nilikuwa na observe tu, hafu wanapenda kweli watu wa kabila letu bana na huwa wanatesa vibaya ndoa nyingi za Hawa watu huwa ni shiida huishia tu kwa talaka na machungu.
Hii jamii sio wanawake wanaume ni shida tupu hasa tabia ya wanaume kulelewa ni sugu I'm glad sikuingia mazima maana alitaka quick marriage ningekuwa mhanga wa kuteswa hisia na kiuchumi wallah
 
Back
Top Bottom