Lingekua la uongo basi pia usingepost picha yako hiyoKwani majina yote unayoyaona humu ni ya kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lingekua la uongo basi pia usingepost picha yako hiyoKwani majina yote unayoyaona humu ni ya kweli?
Mnajipigia promo tu, na je ni jinsia yoyote awe mmasai ke au me ? Unahisi ni kwanini hawachi
Kuwa makini siku utakubaliana na visivyo kubalika, ni vizuri kuuliza usiwe kama bendera kufuata upepo. Jibuni kwanini hawaachi?Oyaa punguza maswali wewe jua TU hawaachi , kwenye kikao tulikubaliana hivyo
Kuwa makini siku utakubaliana na visivyo kubalika, ni vizuri kuuliza usiwe kama bendera kufuata upepo. Jibuni kwanini hawaachi?
Mmeru nare inshungu!!Najivunia kuwa mmasaiView attachment 2033423
Ndiyo Ukweli Wenyewekichwa cha habari kimenivutia ila conten ni kichwa cha habari.......hapo ndio hujaeleweka
[emoji1787][emoji1787]
Mtaimbo[emoji38][emoji38][emoji38]Na nasikia wako na habari njema, ngoja nitafute mmasai nijionee.
Shida ilikuwa nini? Hebu toa uzoefuNimekuwa na mumasai na tumeachana, na wanaume wa kimasai hawadumu na wake labda kabila lake
Hii kitu hairuhusiwi au wewe ni member uliyethibitishwa? Utapigwa ban..Najivunia kuwa mmasaiView attachment 2033423
Ni kweli cyo uongo
Nataka kuthibitisha.Ni kweli cyo uongo
Okay,naomba nitumie sheria za jamii forumHii kitu hairuhusiwi au wewe ni member uliyethibitishwa? Utapigwa ban..
Sent using Jamii Forums mobile app
NjoooNataka kuthibitisha.
Utafunguliwa kesi ya kuvunja sheria ya mahusiano na jamii shauri yakoMmasai mwenye Akili Ni lowasa TU, Hawa wengine Ni miyeyusho
Mashuka yapo wapi?Najivunia kuwa mmasaiView attachment 2033423