Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hata wewe hukunitonya wakati gari la mapenzi limekolea[emoji38][emoji38][emoji38]Best hukunitonya mapema, uzuri nilikuwa na observe tu, hafu wanapenda kweli watu wa kabila letu bana na huwa wanatesa vibaya ndoa nyingi za Hawa watu huwa ni shiida huishia tu kwa talaka na machungu.
Hii jamii sio wanawake wanaume ni shida tupu hasa tabia ya wanaume kulelewa ni sugu I'm glad sikuingia mazima maana alitaka quick marriage ningekuwa mhanga wa kuteswa hisia na kiuchumi wallah
Kimsingi hili kabila waoane wao kwa wao.
Na wanawake hawajui kukataa dyudyu walah