Ni sawa ninachojaribu kuaza ,Nini kilitokea kisaikolojia imekaaje kwa nn tuukatae ukweli Yan mpaka tudanganywe why?Form 4 point 29 ni 4?
Ndio maisha yalivyo u can’t change it, kuna muda u have to fake it in order to make it! Ukijifanya muwazi sana utaishia kupoteza uaminifu na kusemwa vibaya na watu hata usiowafahamu!
Kama unahisi ni rahisi wewe kumpa pesa mtu akafanyie starehe, wakati wewe pia una mambo yako mwingine hawezi! Kwamba mwanamke akikwambia nina ukimwi utamkubali bila maswali basi uko vizuri! Kuwa loyal haina maana ya kuwa ufunguke kila kitu mengine baki nayo ila isiwe sababu ya kuwaumiza wengine!
Angesema amejenga bonge la nyumba ungemchukuliaje? Ongea uhalisiaKuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia nimefanikiwa kujenga kakibanda kangu,aisee kwenda kuona kumbe ni bonge la Nyumba nikasema aloo! Unafiki bongo kwenye damu.
Mtu mkweliAngesema amejenga bonge la nyumba ungemchukuliaje? Ongea uhalisia
Huu nao ni unafki mkuuMtu mkweli
Duh nilitaka kulia, jamaa anasema twende ukaone nilipopanga matofali sio kujenga, sisi maskini hatujengiKuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia nimefanikiwa kujenga kakibanda kangu,aisee kwenda kuona kumbe ni bonge la Nyumba nikasema aloo! Unafiki bongo kwenye damu.
Ukiwa mkweli nao unafiki?Huu nao ni unafki mkuu
Kwasababu ukweli wako utakupelekea kukataliwa mambo mengi sana! Ni mfumo tuliojiwekea wanadamu tuNi sawa ninachojaribu kuaza ,Nini kilitokea kisaikolojia imekaaje kwa nn tuukatae ukweli Yan mpaka tudanganywe why?
Ukweli unaongeza maadui mkuuUkiwa mkweli nao unafiki?
coz uongo unabebeleza unampa mtu raha ndo maana wengi wanaupenda ila ukweli ni mchungu unauma hauna raha na binadamu wengi tunapenda raha hivyo tunachagua rahaNi sawa ninachojaribu kuaza ,Nini kilitokea kisaikolojia imekaaje kwa nn tuukatae ukweli Yan mpaka tudanganywe why?
Chimbuko lake ni Nini ,kwa Nini kisaikolojia tumeuona ukweli ni mchungu .chanzo chake kisaikolojia ni ninicoz uongo unabebeleza unampa mtu raha ndo maana wengi wanaupenda ila ukweli ni mchungu unauma hauna raha na binadamu wengi tunapenda raha hivyo tunachagua raha
Daa kweli Nami ngoja niwe mnafikiUkweli unaongeza maadui mkuu
Wanawake wengi wanapenda uwe mwongo mwongo ukiwa mkweli A.k.a mr nice guy umekwishaaacoz uongo unabebeleza unampa mtu raha ndo maana wengi wanaupenda ila ukweli ni mchungu unauma hauna raha na binadamu wengi tunapenda raha hivyo tunachagua raha
Kabisa!Daa kweli Nami ngoja niwe mnafiki