Ukiishi bila unafiki kibongo bongo tarajia kupata anguko / hatuutaki ukweli

Wa tumbo moja?
Technically, Sarah was Abraham's HALF-sister, according to Genesis 20:12: Besides, she is indeed my sister, the daughter of my father though not the daughter of my mother, and she became my wife. There are two occasions when Abraham was less than honest regarding his relationship with Sarah, his wife.
 
Duh, walitwaana ndugu kabisa, kikwetu haikubaliki.
Lini sasa uhusiano wa mke na mume ndo mzito. Ilibidi utamkwe wa kwanza.
Wamisri siyo watu.
 
Zamani ilitokea kupanua uzao ndio baadaye ilikuja kupigwa marufuku kuoana dada na kaka matoe yake mnazaa mtoto abdormal!
 
Ww huwasikiagi viongoz na watawala wa sekta tofauti wanavyotupangaga wanamchi,waumini,wanachama,mashabiki tena mbele ya umma (kumbuka kuna kiongoz alishawai kuhesabu samaki waliopo bahalini,ziwani,kumbuka mtumish wa mungu alitaka kufufua wafu,kumbuka kuna msemaji wa timu ya simba alitutambulishia mchezaji juz tu mwishowe ....,kumbuka katiba ingepatikana ndani ya 100day tangu uwapisho,kumbuka mchungaji zumaridi ameenda mbinguni na kupiga stori na petro,yesu)
 
Hahahhaaah,,,uongo na unafiki + ukweli Kuna namna tulitengenezwa enzi na enzi
 
Mfumo wa maisha yetu kama watanzania unafikirisha sana ,sasa Huwa najiuliza .ni nani aliturithisha uongo, hapa nitatoa mifano kadhaa

1.mtu akikuomba chenji ukamwambia ninayo ila inanitosha Mimi ni kosa jibu lake > chenji sina ,na pole labda badae nitapata nikupe hili jibu mtu anaondoka akiwa na fraha

2.Ukimtongoza mwanamke ukamwambia ukweli mfano naumwa ugonjwa flani mfano ukimwi ni kosa> jibu lake anapaswa aelezwe uongo

3. Unamuazima mtu pesa labda nisaidie laki mbili nikanywee pombe mtu hakupi > badala yake unapaswa udanganye mfano unauguliwa ,au ndugu kapata ajali
Mifano ni mingi ninachojaribu kukutafta hapa kwa Nini tuukubali uongo na ukweli hatuutaki kisaikolojia ikoje ni mifumo ya elimu ,au inakuaje na nan alitutengeneza kuwa hivyo
Mwisho
Note mm ni form 4 point 29 2011 . Huwa napenda kutafakari sana kama nimekosea nisamehewe
Upo sahihi form four failure; watsnzania ndivyo tulivyo.
 
Kuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia nimefanikiwa kujenga kakibanda kangu,aisee kwenda kuona kumbe ni bonge la Nyumba nikasema aloo! Unafiki bongo kwenye damu.
Kama rafiki yetu mmoja kikundi chetu wote tulikua tumejenga kasoro yeye amepanga tukawa tunamwambia jamani Jitahidi na ww mwaka huu ujenge akawa anasema niombeeni jamani na mm nipate kwangu weee siku hyo anafungua kwake tulipigwa na kitu kizito sio nyumba ni mansion..
So labda angetuambia anajenga tungeacha kumuombea 😁😁😅😅😅
 
Maisha haya unafiki tupu!
 
Back
Top Bottom