Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
chimbuko ni akili haipendi vitu vigumu gumu ndo maana uwezi kujiua mwenyewe kwa kujizimba pumzi na mikonoChimbuko lake ni Nini ,kwa Nini kisaikolojia tumeuona ukweli ni mchungu .chanzo chake kisaikolojia ni nini
upo sahih mapenzi yamekaa uongo uongo tu ukiwa mkweli utapendwa na mama yako tuWanawake wengi wanapenda uwe mwongo mwongo ukiwa mkweli A.k.a mr nice guy umekwishaaa
unamkubalia awe mnafiki uoni kama ni tatizoKabisa!
Hapa kwenye izi lugha mbili naaunga mkono maana kuna fursa nilikosa mahali sababu ya lugha#Ni tour guider anaongea lugha 4 ukipata time ya kusoma lugha piga kifaransa na italy au mwambie ndugu yako🙏
Sasa nimfanyeje mkuu😅unamkubalia awe mnafiki uoni kama ni tatizo
ugemshauri awe muogo wa kimataifaSasa nimfanyeje mkuu
Ibra wa kwenye biblia alidanganya wa misri kuwa Sara so mke wake bali dadake.... usisahau Ibra anaitwa baba wa imani..Form 4 point 29 ni 4?
Ndio maisha yalivyo u can’t change it, kuna muda u have to fake it in order to make it! Ukijifanya muwazi sana utaishia kupoteza uaminifu na kusemwa vibaya na watu hata usiowafahamu!
Kama unahisi ni rahisi wewe kumpa pesa mtu akafanyie starehe, wakati wewe pia una mambo yako mwingine hawezi! Kwamba mwanamke akikwambia nina ukimwi utamkubali bila maswali basi uko vizuri! Kuwa loyal haina maana ya kuwa ufunguke kila kitu mengine baki nayo ila isiwe sababu ya kuwaumiza wengine!
unamaanisha na wewe hauaminiki?Bongo nyoso
Ukimsikiliza bongo na kumwamini jiandae kuumia tu...
Na swala la mtu kukupa ahadi, Kamwe usitilie maanani bongo hubadilika kama kinyonga
Ndio kwani mimi sio mbongo?unamaanisha na wewe hauaminiki?
Mfumo wa maisha yetu kama watanzania unafikirisha sana ,sasa Huwa najiuliza .ni nani aliturithisha uongo, hapa nitatoa mifano kadhaa
1.mtu akikuomba chenji ukamwambia ninayo ila inanitosha Mimi ni kosa jibu lake > chenji sina ,na pole labda badae nitapata nikupe hili jibu mtu anaondoka akiwa na fraha
2.Ukimtongoza mwanamke ukamwambia ukweli mfano naumwa ugonjwa flani mfano ukimwi ni kosa> jibu lake anapaswa aelezwe uongo
3. Unamuazima mtu pesa labda nisaidie laki mbili nikanywee pombe mtu hakupi > badala yake unapaswa udanganye mfano unauguliwa ,au ndugu kapata ajali
Mifano ni mingi ninachojaribu kukutafta hapa kwa Nini tuukubali uongo na ukweli hatuutaki kisaikolojia ikoje ni mifumo ya elimu ,au inakuaje na nan alitutengeneza kuwa hivyo
Mwisho
Note mm ni form 4 point 29 2011 . Huwa napenda kutafakari sana kama nimekosea nisamehewe
nikadhani ww sio mbongo maana unamadini ya nje ya bongoNdio kwani mimi sio mbongo?
Kabisaa📌ugemshauri awe muogo wa kimataifa
Ni dada yake ndio na mke piaIbra wa kwenye biblia alidanganya wa misri kuwa Sara so mke wake bali dadake.... usisahau Ibra anaitwa baba wa imani..
Wa misri hawakuwa watu wema kabisa, mpaka jamaa akamkana mke wakeNi dada yake ndio na mke pia
Hakumkana jamani alioa dada yake!Wa misri hawakuwa watu wema kabisa, mpaka jamaa akamkana mke wake
Mlikubaliana na nani, wapi, lini and why?Lakini si tulikubaliana waongo na wanafiki hawataurithi ufalme wa mbinguni? Mkasema yeye aliyesema usiue ndiye huyo huyo aliyesema usiseme uongo.
Ila sasa napata wakati mgumu kwasababu hata Yakobo alidanganya ila akaja kubarikiwa baadae..🤔
Wa tumbo moja?Hakumkana jamani alioa dada yake!