Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kama umebahatika kuwa na ndugu mnaishi vyema shukuru Mungu.Nyie wezangu mna ndugu wa aina gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umebahatika kuwa na ndugu mnaishi vyema shukuru Mungu.Nyie wezangu mna ndugu wa aina gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe acha tu ,hata baba yangu mzazi nilikuwa nikimlaumu sana katika mambo mengi,Father kakosea hapa , Father kafanya kile alitakiwa afanye hivi,sasa leo hii yale ambayo baba yangu alifanya akiwa na miaka 33 mimi nina 40 sijayafikia.Uliwaona hawana akili sio, ukishakuwa mtu mzima ndio unaona jinsi maisha yalivyo na changamoto nyingi.
Mtu yupo na watoto wawili, lakini amepanga room moja achilia mbali mwenye uwezo wa kupanga nyumba nzima. Haya maisha oneni tu yalivyo.
Mfano kazi gani zitakufanya ushushe heshima?Yaaani kukaa kwa ndugu ukiwa na hizi tabia wee basi hawato kuchoka
1. Kuwa bize na mambo yako
2. Acha dharau tambua bila huyo mtu aliyekuweka hapo wewe ungekua wapi
3. Epuka kukaa nyumbani mda mwingi kuna kazi zingine ni xa hovyo utaambiwa ufanye zitakazo shusha heshima yako
4. Kama umechakalika na kupata kazi sehemu fanya juu chini usiwahi kurudi hapo nyumbani fanya kitu hadi wawe wana miss uwepo wako
5. Kama mkaka achana na mabinti wa mtaa wa hapo karibu the same kwa mdada hivyo hivyo.
6. Usikae kinyonge watakuzoea fanya kazi tafuta geto
Wakiwa wagonjwa tena? Waje kumsumbua malkia wake aanze kuwauguza? Hapo ndio hawatakiwi kabisaNi maoni yako lakini haupo serious wewe. Mji wa mwanamke? Wewe ndio aina ya watu baada ya kuoa kwenu inarudi maiti na ndugu zako(kaka,baba,mama) wanakanyaga kwako wakiwa wagonjwa.
Kivyovyote vile ukiona unachukia mgeni, hukosi hizi tabia uchoyo,umaskini au majivuno.
Wengine tumekulia familia ambazo karibu kila mwaka tuna mgeni ambaye unaishi naye kwa miezi hadi miaka. Hii kitu imenifanya sioni kipya kuhusu mgeni zaidi ya kumuona kama ni mwanafamilia mwenzetu na nafurahia pia hiyo hali.
Sokapo hapa 😂.Wakiwa wagonjwa tena?? Waje kumsumbua malkia wake aanze kuwauguza? Hapo ndio hawatakiwi kabisa
Huyu nae alikuwa mwehu, wenzie kipindi cha uchumba wanafichaga makuchaKwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana
Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Ndugu zake walimshangaa sanaHuyu nae alikuwa mwehu, wenzie kipindi cha uchumba wanafichaga makucha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine mwenyeji wako anakuambia, " wewe pumzika tu, nitafanya kazi zangu"!
Atakuwa na maana gani hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuishi kwa ndugu, mambo ya kufanya
1. Siku zote amka mapema na ufanye shughuli za kimsaada kwenye mji huo, kwa mfano kufagia, kusafisha mabanda ya kuku n.k. wjatever it is, lakini asubuh na mapema ikukute nje.
2. Jitahidi kutoka nje na kuzunguka kitaa ukitafta mishe ndogo ndogo za kukupa vijisenti ili usipauke kisoro
3. Usiwe na mazoea yaliyopitiliza hasahasa Kwa shemeji au wifi yako. Kaa kwa step wacha kiherehere
4. Ukipata chochote huko duniani, kamwe usirudi mikono mitupu, hata ndizi za buku zinaeza sindikiza wali maharagwe hapo ndani. Always provide some input kuwapunguzia mzigo.
5. Kuwa msafi, kuwa msafi kuwa msafi!
6. Fuata sheria zao, kwa mfano kuwahi kurudi, kusali n.k. kama una sheria zako kazipeleke kwenu, hapo ni kwa watu, wacha kisebengo cha kupanga masharti.
7. Hakikisha wale watoto kina "junia" hawakuzoei, wale wana mambo ya kiwaki unaweza mkata kelebu akatema meno. Jiepushe nao
8. Beki 3 ana mbolea iliopitiliza, ukipanda mbegu nakuapia lazma izae matunda. Mkwepe!
9. Kuwa mstaarabu
😂😂😂 Soka mwenyeweSokapo hapa 😂.
Watu wabaya[emoji23]Ewaaaa, wewe umeelewa. Hakutaki yani.