Daniel Edgar
Member
- Sep 21, 2017
- 58
- 60
Ishu ni kujishughulisha na unachangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani ikamchukia. Unajua unapooa na kuanzisha mji, lazma kuna misingi ndani ya familia yako ambayo mtaweka wewe na mke wako maana familia ni yenu kwanza alaf ndo wengine wanafuata.
Sasa utaratibu upo, nyie wote mnaufuata, alaf anakuja mtu anataka kuweka sheria zake just because ni nduguyo je hyo ni sawa?
Mimi shida yangu sio ndugu kuwepo, shida yangu ni ndugu kutofuata utaratibu na pia kumdharau mke wangu. Its a big no kumdharau mke wangu maana mimi hajanishinda na ninaona mambo yanaenda sawa. Kama mtu kaoa mke kichomi then huyo hilo janga atakula na wa kwao. Moka unamuoa mtu unaona kbsa kakidhi vigezo vyako wewe na sio vigezo vya ndugu zako.
Kama mwanamke anasimamia nafas yake kama mke ndani ya nyumba, mtu akimdharau then huyo mtu ndo atakua na roho ya kiwaki.
Mkuu hujawahi kukaa na hawa ng'ombe! Juzi kati hapa wife ameenda kijijini akakuta litoto la sister wangu lipo lipo tu wala halina issue. Akasema aje nalo town labda litaamka, akaliuliza sasa wewe ungependa usomee kitu gani cha kukupa ujuzi (maana shule lilishindwa), likasema nataka nijifunze ufundi ujenzi. Haya njoo nalo mjini, akalipia kila kitu pale VETA, limeenda siku 2 tu likaanza utoro mara leo liende kesho lisiende. Wife sasa akawa mkali akaanza kuliuliza hiki kitu si wewe ndiye ulisema unataka ujifunze? Kuna mtu alikulazimisha? Hapana! Sasa wife akisema hivi wewe unajitambua kweli? Linaona eti analitukana! Halijafungasha kurudi kwao bila kuaga? Ng'ombe zikae huko huko!Mkuu kwa hii comment utakua na roho mbaya sana, mchoyo na mkatili.
Mkuu sio ustaarabu kumuita mtoto wa mwenzio litoto,ng'ombe. Je wewe katika makuzi yako hujawahi kukaa kwa ndugu? Au ndugu hawajawahi kaa kwenu?Mkuu hujawahi kukaa na hawa ng'ombe! Juzi kati hapa wife ameenda kijijini akakuta litoto la sister wangu lipo lipo tu wala halina issue. Akasema aje nalo town labda litaamka, akaliuliza sasa wewe ungependa usomee kitu gani cha kukupa ujuzi (maana shule lilishindwa), likasema nataka nijifunze ufundi ujenzi. Haya njoo nalo mjini, akalipia kila kitu pale VETA, limeenda siku 2 tu likaanza utoro mara leo liende kesho lisiende. Wife sasa akawa mkali akaanza kuliuliza hiki kitu si wewe ndiye ulisema unataka ujifunze? Kuna mtu alikulazimisha? Hapana! Sasa wife akisema hivi wewe unajitambua kweli? Linaona eti analitukana! Halijafungasha kurudi kwao bila kuaga? Ng'ombe zikae huko huko!
Ahsante mwanaume. Kuna comments unasoma unasema kuna wanawake wanataabika; kwa waume zao, wao ni wapitaji tu.Yoo, my nigga relax, umekunywa chai kwanza? Mbona povu?
Lemme break it down to you, jukumu la mwanaume ni kutake care ya familia. Lakini majukumu ya ndani sijui kuosha vyombo, kupika e.t.c ni majukumu ya mwanamke. Itakua aibu kama wewe mwanaume ukianza kuingilia majukumu yake. Kazi yako ni kurekebisha pale unapoona hapafai. Yeye ndo anaweka mpangokazi wa humo ndani majukumu yanaendaje. Hiyo ndo inaitwa nafasi yake, kama vile ilivo yako kutafuta hela watu wale humo ndani.
Unakimbilia kusema sijui kuchukia ndugu n.k lakn kila mji una utaratibu. Sasa ndugu akija alaf asifuate utaratibu au aanze kumpelekesha mke wako utakua boya kukubaliana na vitu kama hivyo. Unapooa unaanzisha mti wako wenye maelekezo yako binafsi. Kama ndugu hafuati utaratibu huwez kufumbia macho just because ni ndugu yako. Hapo ni kwako na atafuata utaratibu kama vile wewe ulivofuata kwa babaako kabla hujatoka mikononi mwake.
Kama mke wako ni mchoyo, hilo ni jipu lako wewe, sio sisi wote wake Zetu ni wachoyo.
Na pia ukijipendekeza kwa ndugu haina guarantee kua watakuthamini, kila mtu ana roho yake, na kila mtu atakufa kivyake. Wewe kwako kama ndugu hawaji, hata umshushie kipigo wife wako wewe ndo unaonekana boya umeshindwa kucontrol familia yako. Mkiweka misingi kama familia hakuna kinachoshindikana.
Alaf pia hii mentality kama yako, hakikisha na wewe unalea familia vilivyo. Sio hakuna chakula ndani na kuna watu kumi af unategemea mkeo afanye maajabu.
Ana kheri anayeitwa mke wakoHaiwezekani ikamchukia. Unajua unapooa na kuanzisha mji, lazma kuna misingi ndani ya familia yako ambayo mtaweka wewe na mke wako maana familia ni yenu kwanza alaf ndo wengine wanafuata.
Sasa utaratibu upo, nyie wote mnaufuata, alaf anakuja mtu anataka kuweka sheria zake just because ni nduguyo je hyo ni sawa?
Mimi shida yangu sio ndugu kuwepo, shida yangu ni ndugu kutofuata utaratibu na pia kumdharau mke wangu. Its a big no kumdharau mke wangu maana mimi hajanishinda na ninaona mambo yanaenda sawa. Kama mtu kaoa mke kichomi then huyo hilo janga atakula na wa kwao. Moka unamuoa mtu unaona kbsa kakidhi vigezo vyako wewe na sio vigezo vya ndugu zako.
Kama mwanamke anasimamia nafas yake kama mke ndani ya nyumba, mtu akimdharau then huyo mtu ndo atakua na roho ya kiwaki.
Leo umenibariki sana. Kuna watu kwao mke ni mashine tu ya kutotoleshea watoto. Si wangeishi tu na hao ndugu zao, kama mke hana umuhimu kwaoShitty mentality. Hii ni nidham ya uoga na unakua nayo pale tu ambapo umeshindwa kua baba kwenye familia. Hata bible inasema mwanaume ni kichwa cha familia. It means ni kiongozi wa familia.
Wengi wanakosea kuoa, wanaoa because of matamanio yao ya ki.wili so wanakutana na wanawake pasua kichwa ambao wanishia kuwacontrol kifala.
Understand this, siezi kumdharau ndugu yangu, ninachosema ni kwamba, ndugu haezi kufika kwangu na kuanza kuleta madharau juu ya utaratibu uliopo kwangu na ambao unafanya kazi bila shida yoyote. Na pia ni kosa ndugu kumdharau mke wangu. Period!
Huez kuogopa kuoa just because unaogopa majanga, unaeza pata majanga na mke huyo huyo akakufuta mavi ukiwa kitandani huez hata kugeuka na hao hao ndugu zako hata wasikusogelee.
U gotta respect them, wanatufanyia mengi lakini tunachukulia easy just because tunazoea.
Mwanaume simama kama baba kwenye familia yako uone kama kutakua na matatizo ya ajabu.
Mbona naona yupo makini tuu... Unajua kuna mambo mengine yanakera sana tena sana. Sa hata ingekua wewe hapo ungemuitaje mtu ajitambui hata huyo mtoto wako akizingua huko kwa ndugu ataitwa hivo hivoMkuu sio ustaarabu kumuita mtoto wa mwenzio litoto,ng'ombe. Je wewe katika makuzi yako hujawahi kukaa kwa ndugu? Au ndugu hawajawahi kaa kwenu?
Kwa jinsi ulivyomuelezea huyo mtoto ni kama wewe,mkeo na watoto wako ni malaika hamjawahi kwaza wengine. Huenda kwa sasa una pesa lakini angalia isikulevye ukakufuru.
Huyo tunasema ajitambui,🚫Binti unakaa na dada wa kazi mnapiga umbea, mbaya zaidi umbea kuhusu waliokukaribisha nyumbani kwao, dada naye anayafikisha kwa wenyewe....
Yani ni hutakiwi, tunahesabu siku uondoke.....
Mkuu wanaudhi sana. Mimi nimekaa sana kwa watu mpaka nimekuja kuondoka kwenda kazini natokea kwa watu. Sisi enzi zetu tulikuwa tunajituma mpaka hapo unapokaa wanatamani usiondoke! 12 juu ya alama umeshaamka, pigs maki gari ya mzee, umeshaweka chakula cha kuku kwenye banda, umefagia uwanja. Baada ya hapo unaingia bustanini. Saa 4 huna kazi unapiga chai unashuka town! Hapo tupo Kwa Makupa street. Unashuka town mdogo mdogo tu kwa mguu! Sasa hawa wa sasa hivi unakuta wanampakazia my wife wako kwamba ana roho mbaya! Wanaudhi!!Mkuu sio ustaarabu kumuita mtoto wa mwenzio litoto,ng'ombe. Je wewe katika makuzi yako hujawahi kukaa kwa ndugu? Au ndugu hawajawahi kaa kwenu?
Kwa jinsi ulivyomuelezea huyo mtoto ni kama wewe,mkeo na watoto wako ni malaika hamjawahi kwaza wengine. Huenda kwa sasa una pesa lakini angalia isikulevye ukakufuru.
Asante mkuu! Wewe umenielewa! Watu wanafikri tuna roho mbaya kumbe sivyo! Kwangu kwenyewe kulishakuwa kama kituo cha kulelea watoto yatima! Ndugu was pande zote wanapenda kuja kukaa kwangu wakati wa likizo zao. Sasa hao wasiojitambua!!Mbona naona yupo makini tuu... Unajua kuna mambo mengine yanakera sana tena sana. Sa hata ingekua wewe hapo ungemuitaje mtu ajitambui hata huyo mtoto wako akizingua huko kwa ndugu ataitwa hivo hivo
Yaaani ndo shida ya watoto ambao bado hawajajitambua hii, kuna watu wapo makini sana ukiona kafanya jambo ujue yupo correct hakuna kupendelea wala kuonea. Akizingua wa upande wangu nita mtreat sawa na wa upande wa mwenzangu🚫🚫⛔Asante mkuu! Wewe umenielewa! Watu wanafikri tuna roho mbaya kumbe sivyo! Kwangu kwenyewe kulishakuwa kama kituo cha kulelea watoto yatima! Ndugu was pande zote wanapenda kuja kukaa kwangu wakati wa likizo zao. Sasa hao wasiojitambua!!
Yaaah,, hakikisha uwepo wako wana umiss..Ukiishi kwa watu; hakikisha unakuwa "asset" kwao.
Nimecheka sana mkuunikajiuliza Lengo lako haswa Nini?akanijibu SITAKI MAZOEA ndani kwangu...akizoea ataanza kuparamia vitu kwenye friji na ujuaji mwingi hataki!kijana wa watu kapigwa na butwaa maana ndio kafika kutoka Ikonda.
""Kula mara 3 per day"" 😂😂😂😂😂😂kula mara 3 per day kama wenye nyumba
ile tabia ya kwenda kuzurura na kurudi saa 10 unatafta chai na mkate uliobaki ili upunguze njaa achana nayo itakukost.
Huruma sanaaDah, Jana tu jioni nimezungumza na ndugu yangu wa kike kaniambia amemwambia shemeji yake asifanye chochote yeye pale Ni mgeni atamuhudumia yeye,kuanzia kutenga chakula,maji ya kunywa amuombe atamletea,na asitoe vyombo Wala kusafisha!nikajiuliza Lengo lako haswa Nini?akanijibu SITAKI MAZOEA ndani kwangu...akizoea ataanza kuparamia vitu kwenye friji na ujuaji mwingi hataki!kijana wa watu kapigwa na butwaa maana ndio kafika kutoka Ikonda.