Ukiishi kwa ndugu, rafiki, jirani zingatia haya

Haya yote mnayasema tu! Matoto ya siku hizi ni kama majinga fulani hivi! Hayawezi kujituma tena yanataka yaishi kama yalivyokuwa yanaishi kijijini! Hizo ni ng'ombe zikae huko huko kijijini!
Kabisa, watoto wa sasa kidogo wana kasoro zao nyingi tu, kumpeleka kwa ndugu yako ni kutafuta kutoelewana na huyo ndugu.

Sasa tufanyeje wakati uwezo ni mdogo na maisha ni ya kuunga?
 
Ni maoni yako lakini haupo serious wewe. Mji wa mwanamke? Wewe ndio aina ya watu baada ya kuoa kwenu inarudi maiti na ndugu zako(kaka,baba,mama) wanakanyaga kwako wakiwa wagonjwa.

Kivyovyote vile ukiona unachukia mgeni, hukosi hizi tabia uchoyo,umaskini au majivuno.

Wengine tumekulia familia ambazo karibu kila mwaka tuna mgeni ambaye unaishi naye kwa miezi hadi miaka. Hii kitu imenifanya sioni kipya kuhusu mgeni zaidi ya kumuona kama ni mwanafamilia mwenzetu na nafurahia pia hiyo hali.
Yoo, my nigga relax, umekunywa chai kwanza? Mbona povu?
Lemme break it down to you, jukumu la mwanaume ni kutake care ya familia. Lakini majukumu ya ndani sijui kuosha vyombo, kupika e.t.c ni majukumu ya mwanamke. Itakua aibu kama wewe mwanaume ukianza kuingilia majukumu yake. Kazi yako ni kurekebisha pale unapoona hapafai. Yeye ndo anaweka mpangokazi wa humo ndani majukumu yanaendaje. Hiyo ndo inaitwa nafasi yake, kama vile ilivo yako kutafuta hela watu wale humo ndani.
Unakimbilia kusema sijui kuchukia ndugu n.k lakn kila mji una utaratibu. Sasa ndugu akija alaf asifuate utaratibu au aanze kumpelekesha mke wako utakua boya kukubaliana na vitu kama hivyo. Unapooa unaanzisha mti wako wenye maelekezo yako binafsi. Kama ndugu hafuati utaratibu huwez kufumbia macho just because ni ndugu yako. Hapo ni kwako na atafuata utaratibu kama vile wewe ulivofuata kwa babaako kabla hujatoka mikononi mwake.
Kama mke wako ni mchoyo, hilo ni jipu lako wewe, sio sisi wote wake Zetu ni wachoyo.
Na pia ukijipendekeza kwa ndugu haina guarantee kua watakuthamini, kila mtu ana roho yake, na kila mtu atakufa kivyake. Wewe kwako kama ndugu hawaji, hata umshushie kipigo wife wako wewe ndo unaonekana boya umeshindwa kucontrol familia yako. Mkiweka misingi kama familia hakuna kinachoshindikana.
Alaf pia hii mentality kama yako, hakikisha na wewe unalea familia vilivyo. Sio hakuna chakula ndani na kuna watu kumi af unategemea mkeo afanye maajabu.
 
Ni kweli hamtaki, ni tabia na roho mbaya tu, nilimkumbusha tu bwana achana nae mgeni Ni Kama mawingu ya mvua hata yatande vipi yataondoka tu hayatabaki milele,akasema we dada Joa hujui tu ndugu zake huyu Bwana wanavyopenda kutawala hii nyumba.
Tatizo la Wanawake wanapoolewa wanahisi kuwa wao ndio wamemzaa huyo mume na siku mume akifariki wanataka na hao ndugu wa mume kusaidiwa malezi ya watoto. Hakika watoto wa mitaani hawatoisha katika jamii kwani matendo ya Wanawake husababisha visasi baadae.
 
Duh! Hapo pole yake. Lakini mimi nadhani hii kasumba ya "ndugu zake mwanaume kupenda kutawala the house", kosa sio la huyo mdada. Kosa ni la mwanaume.

Wanaume tunatakiwa tutambue kuwa, hata kama unalipa kodi au umejenga nyumba, mji ni wa mwanamke. Na watu wote inabidi wafuate maelekezo yake maaana yeye ndo waziri wa mambo ya ndani.

Sasa mwanaume ukiwa mzembe ndo hizi biashara za ndugu kuja na kuanza kumsumbua wife kwa maelekezo yasio na kichwa wala miguu.

Mi nkikufumq unasumbua mke wangu, ni uppercut chembe kidevu lazma ukae. Na kesho ake unashika nauli unachora kwenu!
Na siku utakapopatwa na majanga na huyo mwanamke utaenda kwao akakumalize kabisa. Mke hukuzaliwa nae na wala watoto wasiwe sababu ya kumdharau kaka au dada yako. Utanishukuru siku moja
 
Yaani tuseme siku ndio nimeoa nitambue labda mwanamke wangu anamfanyia visa mdogo angu au ndugu yangu aisee atanijua mimi ni nani hata kama huyo ndugu ni wa mbali au aliwahi kunifanyia visa

Mi nashangaa hawa wanaume wanaoshtakiwa na ndugu zao au wanaojua mke anawaonea ndugu zao kwao na wao wapo kimya aisee pengine labda wana akili ndio hao wanastahili kuwa na mke ndani maana sisi hizo akili hatuna Au labda tumeumbwa tofauti
Huu ndio uanaume kaka, Wanawake usipokuwa makini anakudevide iliaweze kukurule na kisha anakutelekeza wakati huo ndugu nao hawakutaki
 
Ha haaaa Wewe Unataka familia nzima imchukie mkeo kwama kakuroga sio?
Haiwezekani ikamchukia. Unajua unapooa na kuanzisha mji, lazma kuna misingi ndani ya familia yako ambayo mtaweka wewe na mke wako maana familia ni yenu kwanza alaf ndo wengine wanafuata.
Sasa utaratibu upo, nyie wote mnaufuata, alaf anakuja mtu anataka kuweka sheria zake just because ni nduguyo je hyo ni sawa?
Mimi shida yangu sio ndugu kuwepo, shida yangu ni ndugu kutofuata utaratibu na pia kumdharau mke wangu. Its a big no kumdharau mke wangu maana mimi hajanishinda na ninaona mambo yanaenda sawa. Kama mtu kaoa mke kichomi then huyo hilo janga atakula na wa kwao. Moka unamuoa mtu unaona kbsa kakidhi vigezo vyako wewe na sio vigezo vya ndugu zako.
Kama mwanamke anasimamia nafas yake kama mke ndani ya nyumba, mtu akimdharau then huyo mtu ndo atakua na roho ya kiwaki.
 
Duh! Hapo pole yake. Lakini mimi nadhani hii kasumba ya "ndugu zake mwanaume kupenda kutawala the house", kosa sio la huyo mdada. Kosa ni la mwanaume.

Wanaume tunatakiwa tutambue kuwa, hata kama unalipa kodi au umejenga nyumba, mji ni wa mwanamke. Na watu wote inabidi wafuate maelekezo yake maaana yeye ndo waziri wa mambo ya ndani.

Sasa mwanaume ukiwa mzembe ndo hizi biashara za ndugu kuja na kuanza kumsumbua wife kwa maelekezo yasio na kichwa wala miguu.

Mi nkikufumq unasumbua mke wangu, ni uppercut chembe kidevu lazma ukae. Na kesho ake unashika nauli unachora kwenu!
Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana

Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
 
Na siku utakapopatwa na majanga na huyo mwanamke utaenda kwao akakumalize kabisa. Mke hukuzaliwa nae na wala watoto wasiwe sababu ya kumdharau kaka au dada yako. Utanishukuru siku moja
Shitty mentality. Hii ni nidham ya uoga na unakua nayo pale tu ambapo umeshindwa kua baba kwenye familia. Hata bible inasema mwanaume ni kichwa cha familia. It means ni kiongozi wa familia.
Wengi wanakosea kuoa, wanaoa because of matamanio yao ya ki.wili so wanakutana na wanawake pasua kichwa ambao wanishia kuwacontrol kifala.
Understand this, siezi kumdharau ndugu yangu, ninachosema ni kwamba, ndugu haezi kufika kwangu na kuanza kuleta madharau juu ya utaratibu uliopo kwangu na ambao unafanya kazi bila shida yoyote. Na pia ni kosa ndugu kumdharau mke wangu. Period!
Huez kuogopa kuoa just because unaogopa majanga, unaeza pata majanga na mke huyo huyo akakufuta mavi ukiwa kitandani huez hata kugeuka na hao hao ndugu zako hata wasikusogelee.
U gotta respect them, wanatufanyia mengi lakini tunachukulia easy just because tunazoea.
Mwanaume simama kama baba kwenye familia yako uone kama kutakua na matatizo ya ajabu.
 
Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana

Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Ewaaaa. Unaona case kama hii? Ni haki yako kumfukuza kabisa. Huyo dem ndo alikua kiroboto.
Lakini huezi kuniambia kua mwanamke awe na roho nzuri, anafanya majukum yote na anaheshimu mustakabali wa familia alaf anakuja mtu anaanza kumpelekesha as if kamuoa yeye. Sidhani kama ni sawa
 
Yoo, my nigga relax, umekunywa chai kwanza? Mbona povu?
Lemme break it down to you, jukumu la mwanaume ni kutake care ya familia. Lakini majukumu ya ndani sijui kuosha vyombo, kupika e.t.c ni majukumu ya mwanamke. Itakua aibu kama wewe mwanaume ukianza kuingilia majukumu yake. Kazi yako ni kurekebisha pale unapoona hapafai. Yeye ndo anaweka mpangokazi wa humo ndani majukumu yanaendaje. Hiyo ndo inaitwa nafasi yake, kama vile ilivo yako kutafuta hela watu wale humo ndani.
Unakimbilia kusema sijui kuchukia ndugu n.k lakn kila mji una utaratibu. Sasa ndugu akija alaf asifuate utaratibu au aanze kumpelekesha mke wako utakua boya kukubaliana na vitu kama hivyo. Unapooa unaanzisha mti wako wenye maelekezo yako binafsi. Kama ndugu hafuati utaratibu huwez kufumbia macho just because ni ndugu yako. Hapo ni kwako na atafuata utaratibu kama vile wewe ulivofuata kwa babaako kabla hujatoka mikononi mwake.
Kama mke wako ni mchoyo, hilo ni jipu lako wewe, sio sisi wote wake Zetu ni wachoyo.
Na pia ukijipendekeza kwa ndugu haina guarantee kua watakuthamini, kila mtu ana roho yake, na kila mtu atakufa kivyake. Wewe kwako kama ndugu hawaji, hata umshushie kipigo wife wako wewe ndo unaonekana boya umeshindwa kucontrol familia yako. Mkiweka misingi kama familia hakuna kinachoshindikana.
Alaf pia hii mentality kama yako, hakikisha na wewe unalea familia vilivyo. Sio hakuna chakula ndani na kuna watu kumi af unategemea mkeo afanye maajabu.
Hapa ishu sio kuosha vyombo na kupika, ni kumkirimu mgeni. Hakuna sehemu nimesema nitamvumilia ndugu anayevunja utaratibu alioukuta.

Pia kama ulivyosema sio kila wanawake ni wachoyo basi hivyo hivyo sio kila mgeni ni msumbufu.

Kama ambavyo unaweza kumkosoa ndugu yako kwanini ushindwe kumkosoa na mkeo pale anapomtenda tofauti mgeni? Wewe ndio baba mwenye nyumba kitendo cha kusema nyumba ni ya mwanamke ni kama unakwepa majukumu.

Kuhusu chai, karibu mbeya ndani ndani huku, hapa napata chai na mihogo. Chakula kwangu sio tatizo.
 
Ewaaaa. Unaona case kama hii? Ni haki yako kumfukuza kabisa. Huyo dem ndo alikua kiroboto.
Lakini huezi kuniambia kua mwanamke awe na roho nzuri, anafanya majukum yote na anaheshimu mustakabali wa familia alaf anakuja mtu anaanza kumpelekesha as if kamuoa yeye. Sidhani kama ni sawa
Hatukatai ndugu nao wana madhaifu yao lakini hii haikupi nafasi ya kumpelekesha ilihali yupo kwa kaka/mjomba/shemeji yake anaehudumia kila kitu
 
Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana

Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Bravo [emoji123] thamini nduguzo.
Tena mwanamke asijichanganye kumtesa ndugu yangu wa baba Mmoja na mama Mmoja.
 
Hapa ishu sio kuosha vyombo na kupika, ni kumkirimu mgeni. Hakuna sehemu nimesema nitamvumilia ndugu anayevunja utaratibu alioukuta.

Pia kama ulivyosema sio kila wanawake ni wachoyo basi hivyo hivyo sio kila mgeni ni msumbufu.

Kama ambavyo unaweza kumkosoa ndugu yako kwanini ushindwe kumkosoa na mkeo pale anapomtenda tofauti mgeni? Wewe ndio baba mwenye nyumba kitendo cha kusema nyumba ni ya mwanamke ni kama unakwepa majukumu.

Kuhusu chai, karibu mbeya ndani ndani huku, hapa napata chai na mihogo. Chakula kwangu sio tatizo.
Sasa kidogo tunaanza kuelewana. Kuhusu kumkirimu mgeni, kama mke wako hawezi ujue kua ni mchoyo. Na hili kama hukuliona kipindi unamtathmini kwa ajili ya ndoa then ulikua zuzu hatari. Na kitu kama hichi ukifumbia macho ni tatizo.
Kuhusu nyumba kua ya mwanamke, angalia statement yangu, mji ni wa mwanamke. Huez kuniambia wewe hua unaenda jikoni kuangalia kama nyama imepikwa yote au vyombo vimeoshwa. Hivyo ni vitu vya mkeo kufanya. Na pia ujue mke anakua na utaratibu wa kazi zake humo ndani n.k. sasa ni aibu kwamba anakuja ndugu alaf asifanye chochote au aanze kuleta taratibu zake binafsi, hapo ni kumkosea heshima huyo mke humo ndani. Hichi ndo ninamaanisha.
Kama ndugu sio mkorofi, huezi kuta hayq masimango yote na hata wife atampenda maana anajua kua kuna mtu watasaidiana majukumu.
 
Hatukatai ndugu nao wana madhaifu yao lakini hii haikupi nafasi ya kumpelekesha ilihali yupo kwa kaka/mjomba/shemeji yake anaehudumia kila kitu
Kama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.
Wanaume tunafanya maamuzi using logic na sio emotions, sasa ukiona case kama hii inabidi ufanye uchunguzi.na ujue nan ana makosa and how to deal with it.
Sisemi mke asikanywe au ndugu asikanywe, ninachokataa ni mmoja wao kua na free pass ya mambo ya kijinga.
 
Huu ndio uanaume kaka, Wanawake usipokuwa makini anakudevide iliaweze kukurule na kisha anakutelekeza wakati huo ndugu nao hawakutaki
Umeona mkuu Halafu ndugu zake anawathamini na anataka na wewe uwathamini wa kwake

Wanaume wengine kama mazwazwa na hawa wanawake dizaini hii waendelee kuwapata tu mazwazwa

Wakijichanganya kwa sisi wengine watakiona cha moto
 
Kama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.
Wanaume tunafanya maamuzi using logic na sio emotions, sasa ukiona case kama hii inabidi ufanye uchunguzi.na ujue nan ana makosa and how to deal with it.
Sisemi mke asikanywe au ndugu asikanywe, ninachokataa ni mmoja wao kua na free pass ya mambo ya kijinga.
Kinachouzi umefanya uchunguzi umegundua mke ndio mpumbavu unakubaliana na hali

Unamwambia " Aisee dogo fanya tu mwisho wa mwezi huu nenda home shemeji yako hakutaki "

Halafu ni mdogo wako wa mwisho huyo tumbo moja kamaliza chuo kasema ngoja niondoke kijijini niende kwa Braza niangalie channel zinaendaje na mimi nitoke
 
Kwa ndugu zangu Mkuu unakuwa umegusa pengine imagine nilighairisha ndoa tena na nyumbani tumetambulishana

Ilikuwa hivi huyo demu alikuwa akimsumbua Mdogo wangu tena kwa maneno ya shombo na visa vya ajabu. Ila siku moja nilimfuma akimtolea maneno mazito na kumwambia atarudi nyumbani kashamchoka. Hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuwa na Mimi NILIMTIMUA
Safi mkuu [emoji109][emoji109][emoji109]

Naona siku hiyo alijutia mdomo wake
 
Kama mke anampelekesha ndugu, hayo ni madhaifu ya huyo mke ambayo inabidi kukanya na kuchukua hatua.
Wanaume tunafanya maamuzi using logic na sio emotions, sasa ukiona case kama hii inabidi ufanye uchunguzi.na ujue nan ana makosa and how to deal with it.
Sisemi mke asikanywe au ndugu asikanywe, ninachokataa ni mmoja wao kua na free pass ya mambo ya kijinga.
sahihi Mkuu
 
Dah, Jana tu jioni nimezungumza na ndugu yangu wa kike kaniambia amemwambia shemeji yake asifanye chochote yeye pale Ni mgeni atamuhudumia yeye,kuanzia kutenga chakula,maji ya kunywa amuombe atamletea,na asitoe vyombo Wala kusafisha!nikajiuliza Lengo lako haswa Nini?akanijibu SITAKI MAZOEA ndani kwangu...akizoea ataanza kuparamia vitu kwenye friji na ujuaji mwingi hataki!kijana wa watu kapigwa na butwaa maana ndio kafika kutoka Ikonda.
Bangida mkuu angalia kama hii issue ya ndugu yake sister hapa, unaona wazi kabisa mgeni kaanza kutaftiwa sababu siku ya kwanza, unaweza tabiri huko mbeleni ni nini kitatokea.

Mwanaume inatakiwa uwe neutral. Sasa kama ulishamuonyesha mwanamke kama huyo umempa thamani zaidi kuliko ndugu utajikuta unachezea za uso.

NB: utanisamehe Joannah kwa kumtumia sis wako kama mfano mbaya.
 
Usiwe mtu wa kushinda nyumbani masaa 24 huku ukitazama tamthilia katika runinga.

Hakikisha unawahi kutoka asubuhi na kurudi jioni ratiba yako ya chakula iwe dinner tu, lunch na breakfast kapambanie huko mtaani.

Pia katika hustle zako kwa chochote unachopata kumbuka kubeba hata kilo tano za mchele, matunda hata nyama kilo tatu peleka home.

Na hakika hutochokwa na mambo yatajipa tu.
 
Back
Top Bottom