Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kama mazuri.

Ulifanya research ya soko, wateja na eneo ulilofungulia biashara kabla? Either way, usikate tamaa ndo kwaaanza safari imeanza.
Kuna jirani yangu yeye alifungua mini-supermarket daily anatupa vitu vilivyooza/haribika hajawahi kuuza hata mkate 1pc. Kweli biashara hizi tuwaachie Wapemba/wahindi/waarabu sisi waswahili tuendelee kupiga domo Kama Msemaji (aliyetimuliwa)
 
Upo sahihi lakini pia Kama huna kazi unaweza ukawa na biashara zaidi ya moja, haziwezi kukutupa zote cha msingi usiwe na shughuli moja.
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Hii ni kwa experience yako Au general!?
Kwangu imefanya kazi
It goes well so far.
Frame paid in advance

kama lengo lako limesimama
Na unajua unachotaka
Izo ulizotaja ni simple challenges.

(mtazamo wangu)
 
Kuna jirani yangu yeye alifungua mini-supermarket daily anatupa vitu vilivyooza/haribika hajawahi kuuza hata mkate 1pc. Kweli biashara hizi tuwaachie Wapemba/wahindi/waarabu sisi waswahili tuendelee kupiga domo Kama Msemaji (aliyetimuliwa)
Ni swala la kujifunza tu mkuu la sivyo hawa jamaa wataendelea kumonopolize uchumi na sisi kubaki tunalia lia tu bila kuwa uchumi stable.

Kabla ya kufungua biashara eneo lolote lile lazima ufanye tafiti ya uhitaji wa eneo husika.
 
Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Hahahaha dah wacha nicheke tu.
 
Nlitaka kumwambia hivi hivi ajitose mnadani, biashara za frem siku hizi ni changamoto, inabid uwe sehemu yenye watu sana la sivyo utamtafuta mchawi.
 
Nlitaka kumwambia hivi hivi ajitose mnadani, biashara za frem siku hizi ni changamoto, inabid uwe sehemu yenye watu sana lacvo utamtafuta mchawi.
Uko sahihi! Ajichanganye minadani, hiyo laki mbili yake ya kodi per month afanyie mambo mengine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…