Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hii mbona ni hatari sasaNimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Vilevile usisain mkataba ukiwa na njaaHabari wakuu,
Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara,
Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na marafiki huwa hayajitoshelezi, hili jambo ni hatari sana.
Unakuta mtu ameanzisha biashara yake mpya hapo hapo anaitegemea imlipie kodi ya fremu, umeme, TRA, taka, ulimzi, kodi ya anakoishi, maji, chakula, vocha, usafiri n.k,
Ukiona upo kwenye hali kama hiyo jua moja kwa moja ushaanguka, siku si nyingi utafilisika au kuanza kuhisi unachawiwa kumbe tatizo niwewe mwenyewe,
ukitaka kuanzisha biashara hakikisha una kazi (ajira), kipato kingine cha ziada cha kukulisha, kukuvisha, kukulipia kodi ya nyumba, vocha n.k hapo utatoboa mapema tu ndani ya miezi hata 9 au 10,
ila ukianzisha biashara wakati unanjaa, au umepigika ndugu wamekuchangia mtaji wa milioni 3 au umekusanya pesa ukaacha kazi, au umefungua biashara kwa pesa za pensheni baads ya kustaafu tegemea anguko, kufirisika kuhama mtaa au kurudi nyumbani kwenu. Ndio maana waswahi wanasema mwenye nacho huongezewa
Hii ndio sababu inayoperekea biashara nyingi mpya kufa haraka hata bila kumaliza miezi 8 au mwaka,
NB: USIANZISHE BIASHARA WAKATI UKIWA NA NJAA. Akili ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
Nawasilisha
Vya mtumba au special??Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Mkuu biashara ya kutoka kirahisi kwa mtu usiekuwa mtaalamu saaaana wa biashara Ni chakula.Mkuu uliza uambiwe. Unafikiri tunapenda? Biashara enzi za jiwe ilikua Kama ugaidi. Madhara Ni mpaka Sasa labda biashara ya kondomu ndo Ina uhakika
Halafu biashara za hivyo zimehamia mitandaoni , nunua account ya Facebook na Instagram uwe unaweka bidhaa zako huko.Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
We jamaa una fix sanaNimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Utajua hujui[emoji848]Mbaya zaidi kuwe na external factors zitazo affect biashara yako. Imagine mtu ameglipa kodi kafungua mpesa afu serikali ikaleta mambo ya tozo
Biashara ya aina hii haifai mkuu!Maana ukifukuzwa kazi au ukistahafu itakuwa ndiyo mwisho wa biashara.Ni kweli, mimi nina duka yani siku ukisema uchukue laki tano urushe kwenye ada lazima upasue kichwa jinsi ya kuilipa la sivyo mambo ya goma kabisa dukani unafunga, ikawa nafanya hivi mfano budget ya chakula cha family ni laki 2 mfano kwa mwezi kwa hyo tar 1 naeka vitu vya laki 2 kwa hyo sasa hii pesa ya mboga ndo inakua inatoka dukani . na nikichukua pesa kwa shughuli isyokua ya duka lazima nirudishe. Lkn kumbuka hapa hii 200000 inatoka kwenye salary au mishe zingine
Unamjulia huyo....ana chai sanaMuongo muongo huyo kila thread ya biashara hua anatunga stoty ya hivyo.
Katika vitu ulivyovitaja hapo, umetaja na bia, kwani lazima unywe bia? Hapo ndipo tunapokosea wengi; kwenye biashara, usitumie sehemu ya mtaji kwenye mambo ya starehe, piga hesabu za maingizo yako kwa kila siku, kama unaona hakuna faida iliyoingia, achana na bia na starehe zingine.Nilikua nafanya biashara kama yako mkoani Morogoro,sikua na frame nilikua nauzia minadani,minada ya pale Moro town tu, ila bado ilinikata.
Tatizo kubwa lilikua kama alivyoeleza Dube hapo juu,yani pesa hiyo hiyo nile,nilipe kodi,maji,umeme,bia,n.k.
Nikafunga vilago kwenda mkoa mwingine kuzisaka.
Mmmh [emoji848]Biashara ipo Tegeta kibaoni. Yaan Ni shidaaa
Hili ndo la muhimu[emoji848]Upo sahihi lakini pia Kama huna kazi unaweza ukawa na biashara zaidi ya moja, haziwezi kukutupa zote cha msingi usiwe na shughuli moja.
Ngoja nianze kuuza ndomu[emoji1751]Mkuu uliza uambiwe. Unafikiri tunapenda? Biashara enzi za jiwe ilikua Kama ugaidi. Madhara Ni mpaka Sasa labda biashara ya kondomu ndo Ina uhakika
Ni mwendo wa kuuza bidhaa zako barabarani tu fremu tuwaachie wahindiNlitaka kumwambia hivi hivi ajitose mnadani, biashara za frem siku hizi ni changamoto, inabid uwe sehemu yenye watu sana lacvo utamtafuta mchawi.
Biashara kichaaUnakuta biashara inashindwa kukununulia hata vocha ya kuwasiliana na wateja, biashara gani hiyo!
Wewe ndo uko ubongoni mwangu... hili ndo wazo linanitafuna kichwa now[emoji848]Mkuu biashara ya kutoka kirahisi kwa mtu usiekuwa mtaalamu saaaana wa biashara Ni chakula.
Fanya research kwa eneo zuri la kuweka kijiofisi chako ( breakfast , lunch na chakula cha jion kwa mabachelor). Utanishukuru hapa.
Milion 2 kwa kuanzisha kijieneo Cha chakula inatosha.
Huwez kukosa 30,000 mpaka 50,000 kwa siku Kama faida Kama unauza kuanzia asubuhi Hadi usiku.