Ni muhimu pia kuangalia kipato cha watu.Jamaa yuko sahihi,tatizo asilimia kubwa ya wakazi wa huu mkoa ni wa kipato cha chini na cha kati kwahiyo inategemea ulikuwa unawauzia nini labda hazikuwa bidhaa sahihi kwao
Kweli mke wangu na huo ukurutu nitakua naukwangua nakuchanganyia na kimba kibichi nakulisha unenepa mtoto mzuri.Wivu unachakaza sura!! heee!! mpaka mwandiko utakoma nakwambia Yaani mpaka Yesu arudi, utakuwa na ukurutu wenzako sie tunaimba haleluya tu haooooooooooooooo....
km unaweza tubu hapa hapa tukuone tu
Vibaya mnooKumbe muongo huyo
Hawaogopi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]?[emoji849][emoji849][emoji849]Ndomu zenyewe siku hizi watu wanapenda nyama nyama wakojoe fasta wakajenge taifa.
Yaani si wanawake si wanaume, wote wanapenda kavu.
Watu hawaogopi siku hizi. Wengine wanajisemea kuliko kutumia ndom bora ajikabidhi CHAPUTA kwa muda.Hawaogopi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]?[emoji849][emoji849][emoji849]
Ile kitu ni baraaaWatu hawaogopi siku hizi. Wengine wanajisemea kuliko kutumia ndom bora ajikabidhi CHAPUTA kwa muda.
Kavu ina raha yake jamani! Sema utakapoona mawenge ya ARV ndio utakapojua hujui.
Hivi ARV zina wenge sana mkuu?Watu hawaogopi siku hizi. Wengine wanajisemea kuliko kutumia ndom bora ajikabidhi CHAPUTA kwa muda.
Kavu ina raha yake jamani! Sema utakapoona mawenge ya ARV ndio utakapojua hujui.
Mimi nimewahi kunywa PEP nilitembeaga na malaya mkali kavukavu bila kujua kama ni malaya.Hivi ARV zina wenge sana mkuu?
Mbona wanywaji wanasemaga hazina issue[emoji848]
Duuuh...sasa basi wakizoea si inakuwa fresh tu[emoji848]Mimi nimewahi kunywa PEP nilitembeaga na malaya mkali kavukavu bila kujua kama ni malaya.
Wenge la PEP nasikia na ARV ni hivyo hivyo unapoanza.
Japo mimi nilitumiaga siku 30 but sitakuja kusahau wenge lake.
Da huyo mfanyakazi wako mshikilie sana,ni mtu mwenye akili ya biashara na maishaVya mtumba au special??
Nina biashara ndogo tofauti tofauti kote kuna changamoto lakini angalau biashara ya viatu inalipa, mimi nachanganya mtumba na special ila mtumba ndio unaenda sana, nazungumizia mtumba grade 1, weekend hii liyopita nimechukua mzigo dar nikachanganya na pull meck maana ni maeneo yenye baridi hasa, mzigo ukafunguliwa pale dukani jumanne, ndani ya siku tatu(mpk alhamis) namuuliza muuzaji kaachia pea 70, na pull neck zikawa tayari zimeisha mpk nikajuta kuchukua chache..
Najua moja ya sababu za kuuza kwa haraka ni kua kuna watu wengi walishaweka oda hivyo walikua wanasubiri tuu, ila si kwamba kila siku mambo yanaenda hivyo, inaweza pita hata siku mbili sijauza chochote au uuze pea moja kwa siku, kwa ufupi ni mauzo ambayo kipindi kingine inanichukua mwezi na zaidi kuyafikia, kwahio kushuka au kupanda kwa mauzo ni ka upepo tuu, kikubwa jipe mda pale kabla hujaanza kuhukumu biashara, nakushauri usiwaze kufunga hio biashara mapema, hata mimi nilipitia hapo, na bado kuna siku haziendi vizuri ila najipa mda.
Hili la kutegemea hio biashara ndio ikupe kila kitu ndio kulinifanya nirudishe mpira kwa kipa kwanza, nikamwambia mfanyakazi afunge kwanza sitaweza kumlipa, Kwa kweli kitu ambacho sikuamini Mwenyewe kwa Hiari yake Akasema hapana atauza bila malipo maana anaona kweli ndani hamna kitu ila tukifunga kabisa ndio tutapoteza wateja na pia fursa itaenda na mwingine, aliuza 2 months bila mshahara, mimi ndio nikawa najiongeza kwa uungwana alioonesha, mpk nikaleta mzigo.
Labda, ila mimi kwa kunywa kwangu nilikuja kuzizoea siku za mwishoni. We dawa gani utaizoea unakuwa kama umelewa na ndoto za ajabu!Duuuh...sasa basi wakizoea si inakuwa fresh tu[emoji848]
Kuna jirani yangu yeye alifungua mini-supermarket daily anatupa vitu vilivyooza/haribika hajawahi kuuza hata mkate 1pc. Kweli biashara hizi tuwaachie Wapemba/wahindi/waarabu sisi waswahili tuendelee kupiga domo Kama Msemaji (aliyetimuliwa)
Asee hilo ni balaaa na nusu[emoji848]Labda, ila mimi kwa kunywa kwangu nilikuja kuzizoea siku za mwishoni. We dawa gani utaizoea unakuwa kama umelewa na ndoto za ajabu!
Kitu gani mkuu?[emoji1745]Ile kitu ni baraaa
😂😂😂😃Ha ha ha ni noma yani biashara ngumu sana😅 ila pia zina mbinu zake nahisi wengi tunakosa kuzifahamu! Sijui wahindi wanafanikiwaje kwa kuuza vifungo, sindano, zipu na nyuzi za kushonea bila kusahau vitambaa😅