Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?
Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji.
Ukiwa na rafiki wa kike asiye na kazi, au anakazi yenye kipato kidogo, au awe mwanachuo na wengine ambao hawana kipato cha uhakika basi ujue umejiingiza kwenye tabu na shida ambayo haina sababu na tabu hiyo inaweza kukusumbua kwa muda mrefu kama hutachukuwa maamuzi magumu.
Tabu na usumbufu mdogomdogo utakaokutana nao ni kama Mizinga maarufu ambayo hutaikwepa ya masafa mafupi na mirefu, kama kuombwa hela/kifurushi, hela ya nauli, hela ya hospital, kuombwa hela ya ped, kuombwa umuongozee kodi, boom limeisha na pengine hata kodi, kusaidia kuchangia harusi ya ndugu yake/rafiki yake, kukumbushwa siku yake ya kuzaliwa nk.
Ukiona unaingia gharama hizi na nyingine za aina hii ujue umekwisha, Mwanaume makinii lazima uwe na standard za mahusiano (sio kila msichana) maana bila hivyo utapoteza muda wako, pesa na heshima yako kwenye mahusiano na jamii.
Mahusiano yenye kufuata nadharia ya mshumaa huwa hayana faida kwa mwanaume bali kwa yule anayemulikiwa.
Mwanaume akijua standard yake anaweza kuepuka kuingia kwenye uhusiano wa kijinga unaomnyonya.