Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

Ili nitafute maisha

Kumbe ulisema uzamie? Ukifanya hivyo utakuwa umevunja sheria na ukikamatwa utarudishwa nchini.

Kama una taaluma au ujuzi, tumia njia halali ikiwemo kutafuta ajira itakayokuwezesha kupata kibali cha kuishi huko na hata uraia ukitaka.
 
ninyi hamsafiri watu kwa ajili ya kwenda kutafuta maisha?
Kama wakenya wanavyofanya
Kumbe ulisema uzamie? Ukifanya hivyo utakuwa umevunja sheria na ukikamatwa utarudishwa nchini.

Kama una taaluma au ujuzi, tumia njia halali ikiwemo kutafuta ajira itakayokuwezesha kupata kibali cha kuishi huko na hata uraia ukitaka.
 
Safi hiyo. Bila shaka wadau watajipanga kwenda kusafirisha macho.

Vip Ukraine, hamfiki...,.........[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…