Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine.

Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako hutafurahia maisha wala hutaifaidi dunia ipasavyo. Pesa tu ndio ikufanye usiende mataifa mengine kupumzika na kubarizi? Jitafakari upya.

Kwa mfano, mwezi wa 5, 6 na 7 ni kipindi kizuri kwenda nchi za Ulaya hususani Ufaransa na Roma.

Sio hizo tu; kuna Ubelgiji, Uholanzi, Uswizi, Ujerumani, Austria Italy hasa kule Vatican City n.k.

Ukijichanga ukapata kama Milioni 6 tu hivi utaweza kufanya ziara katika nchi zote hizo, utaenjoy, utalala, utakula, utatembelea vivutio, utapiga picha nzuri za kumbukumbu na utarudi Tanzania kwa bajeti hiyo tu tena utakaa kwa muda wa wiki 2 mfululizo.

Hapo ugumu uko wapi?
Afrika ni bora kwa utalii kuliko huko kulikojaa ubaguzi junk foods, vitu bandia, maisha ya kufake nknk
 
Afrika ni bora kwa utalii kuliko huko kulikojaa ubaguzi junk foods, vitu bandia, maisha ya kufake nknk

Pengine uko sahihi mdau Mshana Jr, lakini zipo sababu nzuri pia za kwenda kutalii nje ya Afrika ikiwemo hali ya hewa, kiwango cha maendeleo na matumizi ya teknolojia, vivutio vya asili, utamaduni, historia na mambo mengine mengi.
 
Humu JF hakuna Wakurugenzi? 😜

Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu

Humu JF hakuna Wakurugenzi? 😜

Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu.

Humu JF hakuna Wakurugenzi? 😜

Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu.
Maisha halisi ya mtanzania hivi vitu hawezi vimudu ni tabaka la juu ndio linaweza vimudu, ikiwa utalii ndani tu changamoto sembuse uko ughaibuni
 
Maisha halisi ya mtanzania hivi vitu hawezi vimudu ni tabaka la juu ndio linaweza vimudu, ikiwa utalii ndani tu changamoto sembuse uko ughaibuni

Ni suala la mtazamo na mazoea tu. Hakuna linaloshindikana hata kwa mtu wa kipato cha chini. Utalii wa ndani unagharimu mpaka elfu 30k tu kwa baadhi ya maeneo, bado wapo wasioenda, utasema tatizo ni kumudu?
 
Sawa hakuna neno. Tumeuweka kirahisi kupitia hii artwork mchanganuo mzima.

View attachment 2164066

Wasiliana nasi kwa maswali zaidi kupitia WhatsApp: +255 757 212 122

Asante.
Hii ni cheap Sana ,maana maisha ni Kama hayo. Sio unasimuliwa..sijaelewa per person on double sharing basis.
Pia sijui hawajaweka malazi ama sijaona
 
Hii ni cheap Sana ,maana maisha ni Kama hayo. Sio unasimuliwa..sijaelewa per person on double sharing basis.
Pia sijui hawajaweka malazi ama sijaona

Gharama tajwa ni kwa mtu mmoja ila baadhi ya huduma huko mtakuwa mnatumia watu wawili, wawili. Mfano kwenye gari la mizunguko na guides n.k.
 
Back
Top Bottom