Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
- Thread starter
-
- #41
Sawa ndo nauliza kwanini biashara ya uwakala wa kusafirisha watu kwenda kutafuta maisha hapa Tanzania imekuwa ngumu tofauti na Kenya
Mna nufaika vp na hiyi ishu
Plan nzuri ,mko vizur
Safi
Nakazia [emoji1][emoji1]mmeanza tena.ulaya ulaya ulaya kwanini wasiende kwanza ngorongoro au hata mikumi tu
Afrika ni bora kwa utalii kuliko huko kulikojaa ubaguzi junk foods, vitu bandia, maisha ya kufake nknkTusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine.
Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako hutafurahia maisha wala hutaifaidi dunia ipasavyo. Pesa tu ndio ikufanye usiende mataifa mengine kupumzika na kubarizi? Jitafakari upya.
Kwa mfano, mwezi wa 5, 6 na 7 ni kipindi kizuri kwenda nchi za Ulaya hususani Ufaransa na Roma.
Sio hizo tu; kuna Ubelgiji, Uholanzi, Uswizi, Ujerumani, Austria Italy hasa kule Vatican City n.k.
Ukijichanga ukapata kama Milioni 6 tu hivi utaweza kufanya ziara katika nchi zote hizo, utaenjoy, utalala, utakula, utatembelea vivutio, utapiga picha nzuri za kumbukumbu na utarudi Tanzania kwa bajeti hiyo tu tena utakaa kwa muda wa wiki 2 mfululizo.
Hapo ugumu uko wapi?
Afrika ni bora kwa utalii kuliko huko kulikojaa ubaguzi junk foods, vitu bandia, maisha ya kufake nknk
Humu JF hakuna Wakurugenzi? 😜
Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu
Humu JF hakuna Wakurugenzi? 😜
Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu.
Maisha halisi ya mtanzania hivi vitu hawezi vimudu ni tabaka la juu ndio linaweza vimudu, ikiwa utalii ndani tu changamoto sembuse uko ughaibuniHumu JF hakuna Wakurugenzi? 😜
Kimsingi, hivi vitu vinamuhusu kila mtu. Ni kujipanga tu.
Maisha halisi ya mtanzania hivi vitu hawezi vimudu ni tabaka la juu ndio linaweza vimudu, ikiwa utalii ndani tu changamoto sembuse uko ughaibuni
Iko vizuri sana. Mungu ajaalie ikiwezekana nikamspoil mtoto wa mtu kwenye hiyo trip.
wale wanakuja kwetu, sisi tunaenda kwao.mmeanza tena.ulaya ulaya ulaya kwanini wasiende kwanza ngorongoro au hata mikumi tu
Hii ni cheap Sana ,maana maisha ni Kama hayo. Sio unasimuliwa..sijaelewa per person on double sharing basis.Sawa hakuna neno. Tumeuweka kirahisi kupitia hii artwork mchanganuo mzima.
View attachment 2164066
Wasiliana nasi kwa maswali zaidi kupitia WhatsApp: +255 757 212 122
Asante.
Kama Sina passport Wala Visa ila Nina pesa ya kuweza kumudu gharama zote nafanyaje nifanikishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana vjana wa mama samia suluhu hassan
Hii ni cheap Sana ,maana maisha ni Kama hayo. Sio unasimuliwa..sijaelewa per person on double sharing basis.
Pia sijui hawajaweka malazi ama sijaona