Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.