Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Intelijensia zao huwa zina detect mikusanyiko ya Chadema tu. Mbona tusisikie wakipiga viongozi wa CCM wanaoiba nao kura. Hio intelijensia gani mbona iko biased kila siku mikasa ni ya kuwapiga wapinzani esp CHADEMA. Toka lini kwenda kusikiliza kesi mahakamani ikawa ni fujo?Polisi wamepata taarifa za kiintelejensia juu ya uvunjifu wa amani, hivyo lazima wazuie watu kwa usalama wa wengi, sasa kwakuwa chadema wao wamedhamiria kufanya fujo ndio maana walikaidi na matokeo yake lazima nguvu ya polisi itumike kuwatawanya na kula virungu. Kirungu na mateke ipo hiyo hata Marekani. Ukikabiliana na polisi lazima upate joto la msuguano, polisi haweze kukutekenye.
You must be damned ku side na hao jamaa katika kuwatetea kwenye uovu waufanyao makusudi kabisa.