Akili za kimbwaKikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
Ukikatazwa katazika. Polisi wapo kwajili ya kulinda usalama wetu wote na mali zetu.Amri halali ni ipi?
Polisi kutimiza majukumu yao ni kupiga watu bila sababu tena watu walioenda kusikiliza kesi mahakamani? Wewe una akili timamu kweli?Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
Hi nchi ina watu wajinga na wa pumbavu wengi sanaa, hawajui haki za binaadamu ziko above amri za police duh.Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
Ni heri ungekaa kimya tu
Kasome tena sheria na majukumu ya polisi , hufahau ama hujui mipaka yao ni ipi.Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
Kiujumla tuseme wananchi majority hawajui haki zao kikatiba na kisheria ndani ya nchi yao, mtoa mada anahisi lolote watakalofanya vyombo vya dola wako sahihi hata kwenye uonevu. Taahira wewe poteza muda kujua chadema wanafanya hivo kwa kusimamia sheria zipi na mipaka ya polisi kwa wananchi ni ipi
kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi mahakamani hiyo ni amri halali?Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
Akili za kikoloni hiziKikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema inadhani inaweza kuwazuia Polisi wasitimize majukumu yao, waogope na wawaache Chadema wajifanyie wanavyo taka!!!! hilo haliwezekani kamwe.
Amani ya nchi ni muhimu kuliko hicho kikundi cha kihuni cha chadema.
kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi mahakamani hiyo ni amri halali?
nyie ni mafisadi na majizi mnaonufaika na mfumo dhalimu uliopo. Your days are numbered!
Polisi wamepata taarifa za kiintelejensia juu ya uvunjifu wa amani, hivyo lazima wazuie watu kwa usalama wa wengi, sasa kwakuwa chadema wao wamedhamiria kufanya fujo ndio maana walikaidi na matokeo yake lazima nguvu ya polisi itumike kuwatawanya na kula virungu. Kirungu na mateke ipo hiyo hata Marekani. Ukikabiliana na polisi lazima upate joto la msuguano, polisi haweze kukutekenye.Polisi kutimiza majukumu yao ni kupiga watu bila sababu tena watu walioenda kusikiliza kesi mahakamani? Wewe una akili timamu kweli?
Ingelikuwa watu wameenda kufanya vurugu kituo cha polisi walau kungekuwa na justification ya kujitetea lakini kupiga watu mbele ya chombo cha kutoa haki ni big No.
Hujui pia unaishi kuna sheria zinakulinda? Polisi ni nani unahisi kwanza tuanzie hapo au unafikiri kumiliki smartphone na kuweza kuweka thread humu umemaliza? Yaani we na jamii yako mnaishi kama makondoo tu mnamiliki kamasi tu kwenye vichwa vyenuFanya shughuli zako halali huwezi kusumbuliwa au kaa nyumbani utulie....sasa wewe unalazamisha kwenda mahali ambapo polisi wamekukataza unategemea ufanywe nini? Utachezea kichapo cha mbwa koko tu.
Tuheahimu mamlaka na sheria.