Ukikaidi amri halali ya polisi lazima ushughulikiwe, hutochekewa, imo hata Marekani, duniani kote

Intelijensia zao huwa zina detect mikusanyiko ya Chadema tu. Mbona tusisikie wakipiga viongozi wa CCM wanaoiba nao kura. Hio intelijensia gani mbona iko biased kila siku mikasa ni ya kuwapiga wapinzani esp CHADEMA. Toka lini kwenda kusikiliza kesi mahakamani ikawa ni fujo?

You must be damned ku side na hao jamaa katika kuwatetea kwenye uovu waufanyao makusudi kabisa.
 
Fanya shughuli zako halali huwezi kusumbuliwa au kaa nyumbani utulie....sasa wewe unalazamisha kwenda mahali ambapo polisi wamekukataza unategemea ufanywe nini? Utachezea kichapo cha mbwa koko tu.
Tuheahimu mamlaka na sheria.
Polisi kazi yao ni kupangia watu pa kwenda na kutokwenda? Are you in your right senses au umemka na kuka kichwani!?

PGO ya polisi kuna sehemu inakataza watu kufika mahakamani kusikiliza kesi? Mbona kipindi kile yule shwaini wa Arachuga "Ole 7Buyer" alipotiwa nguvuni watu walikuwa wanaongoza kwenda mahakamani kushuhudia anavyopigwa nyundo na hakimu na hakuna polisi waliopiga na kuzuia watu wasiende mahakamani.
 
Mali gani zitakazoporwa mahakamani...Meza, viti na makaratasi ama mali zipi?
Watu siku zote wanahudhuria kusikiliza cases wengine kwa dhumuni la kujifunza utetezi wengine kwa ajili ya kuongeza maarifa.

Nyie mnakurupuka kusema watu wataibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…