Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Malezi yake yana nafasi kubwa kumuathiri hadi uzeeni. Unakuta baadhi ya wazee waliomaliza umri wote ubaharia, hujiona ni sawa tu kuishi vyovyote
 
Andiko bora kabisa!

Watu kabla ya umri tajwa huwa na mategemea mengi ambayo mwishowe humletea hofu,lakini akiwa mkubwa ndo mwisho hugundua alikuwa akiwaza ujinga!!
Hapo huanza kuomba msamaha wote alowakosea kipindi hajapevuka
 
Moja kati ya mbinu ya kijasusi katika kuwa salama kiakili na kimwili ni kuhama kutoka mji mmoja mpaka mwingine, jump from town to towns, city to city.... You will find peace and yo brain will function at high level, umeona jipya gani huko dubai mkuu
Mengi sana mkuu, bakia hapa hapa JF kwa Maxence Melo , Ukikaribia Miaka 40 ,part 2 inakuja
 
Kila la heri hapo Samaya Hotel! Endelea kupata utulivu moyo na ubongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…