Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Sijaona logic yeyote kwenye hili bandiko.

Mleta mada kajitahidi kuandika mambo mengi katika level ya kawaida ya ufahamu.
 

maneno kazuri na ya ukweli na kwa kuongezea serikali inatafuta mbinu za kila aina kuwasumbua raia leo hiki kesho kile unaishi na wasiwasi mtupu ukifika maofisini hupati huduma kila moja boss njoo kesho njoo kesho mateso kweli maisha ya united arab emirat ni
pepo ya duniani
 
Hata wapumbavu huwa wanazeeka
 
Kati ya hofu nilizokua nazo ni hii ya kumridhisha mwanamke, jf nayo ikapigilia msumari moto, kila uzi ukifungua unahisi inakugusa na comments ni kama zinakudis wewe aisee.
Kila mtu unamuona ni hodari, achana na hilo ana maisha poa sana.

Nikiwa kitaa mambo ni hayo hayo, watu wanamudu mahusiano yao na vipato vyao vinaridhisha mno kuliko mimi.

Nilipojua kua nina hofu isiyo na sababu nikaanza kubadilika na kuish kwa uwezo wangu. Aisee yale niliyokua nawawazia watu wao sasa wakaanza kuniwazia mimi kua ni mtu wa matawi ya juu kumbe wala ni kama wao tu.

Hofu ni kitu mbaya sana sana. Huuwa perfomance
 
kama maeneo yapi mkuu,unaweza nielewesha kwa mifano.
 
Hofu ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…