Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

Nimelikuta hili andiko lako hakika ni critical and great thinking.. Asante kwa mawazo mazuri sana.. mimi ni early 30s lakini nahisi nishafikia hio level ya kuondoa hio hofu ni kweli konachoshuhulisha sana watu wengi ni kujicompare na wengine while maishani basic needs are the same.. aliekula piza na burger yupo sawa tu na aliekula ugali na maharage au dagaa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ajabu ukifika uelewa huo, wanaokuzunguka ,wanahisi una plan B za kutoboa maisha, mbona hubabaiki? unafukuzwa kazi hulii?
 
Imetafsiriwa
 
Andiko zuri mkuu.

Ila sijaona umuhimu wa wewe kutuambia kuwa upo nje ya nchi.
Ego yaani kuji boast apate attention.nishasema when a lion kills it doesn't roar Ila sie tuna roar ndio tofauti.
Yaani Ile kufahamika ama kutambulika kuwa appreciated Ni nature yetu.
Na ilhali huwezi ona mtt wa baresa ama mo akaenda USA akaandika kuwa yupo nje as if it's something very unique.
Yaani Hawa ndio wale wauza sura insta.


Ndio Mara ya kwanza Sasa atafanyeje na ukute kwa ukoo wake ndio akatoka wa kwanza
 
The greatest emotion of human being is fear. The first fear is fear of death. Watu wanaishi kwa hofu ya wanadamu Basi na hakuna lolote
 
Hapana mkuu ,tunaita mtindo wa uandishi kuvuta hisia ,kama mwandishi akisema nilisafiri na Rais fulani nikamuuliza kitu fulani, msomaji hutaka kujua hiko kitu ni nini. Watoto wa Mo na Bakhresa wao siyo waandishi ,naamini wangekuwa waandishi ( wanaweza kuandika wakiamua) , wangeanza story kama hivi: Kikao cha kwanza na Dangote tulijifunza vingi ingawa kikao na bill gate tulijifunza zaidi . Ni mtindo tu wa uandishi ,by the way ,tiketi ya emirate plus visa, go and return Dubai ni dola 700 (milioni na nusu) si kitu cha kujimwambafy
 
this is personal
 
Afande bado unaishi kwa wazazi ukigombea remote? Ondoka hapo haraka
 
Pamoja mkuu. Hotel za kulala kawaida Kama Ile economy class or business class ikoje. Najua chakula huwa sio ghali mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…