Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

Ili ung'oe Goma la bure hakikisha unaandaa Tshs 1,000/ ya Ugali Dagaa na Tembele au 1,500/ ya Ubwabwa Maharage.

Na baada ya Kung'oa hayo Magoma ambayo GENTAMYCINE kwa Uzoefu wangu tukuka huwa yana Gono na Kaswende huku Ugonjwa Sugu wa 1981 ukiwa Umeshawakomaa wahi upesi Duka lolote la Dawa na waambie GENTAMYCINE kaniambia mnipe Dawa za Cipro, Amoxylin na Flagyil za Siku Saba ( 7 ) tu sawa?

Na mkimalizana nao ( hiyo Migoma ) ya Cow Way hiyo Kesho ( Leo ) Mkeshani hakikisheni mnajikunguta vizuri Mashati yenu, Suruali zenu na hata Boksa zenu za Mitumbani Ilala Mchikichini ili msipeleke Kunguni Majumbani Kwenu / Mwenu sawa?
Kutikuwa na akili ni ww au mambo ya ukoo
 
Back
Top Bottom