Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

Hao ndo ugonjwa wangu shida siwaoni narudigi na upwiru wangu tu. Pia . Wengi pale ni wanawake wa kimasai na wasukuma au wanyamwezi wananuka ngombe ngombe tu na Mimi ni mzee kijana wa kinondoni nataka pc
Wabanduaji tukuka huwa hatupotezi muda kuhangaika na Harufu zao bali tunachokizingatia hasa ni Shimo / Robo Asali tu pekee.
 
Sisi wa mikoani (sijajua kama Dar ni mkoa ama ni nchi) mtuelezee japo kidogo, kuna nini huko Daslam?!
 
Asante sana Mkuu kwa Kuwaeleza Ukweli na kwa Credits zako Kwangu ila jiandae kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi ( yangu ) kwani hapa JamiiForums nikisifiwa tu na Members wa mfano wako IDs zao zinaambiwa ni zangu ila zile Zinazonitukana, Kunikashifu na Kunichukiahuwa haziambiwi ni zangu.

Nilishasema huko nyuma hapa hapa JamiiForums kuwa kama ukijijua huna Akili ( yaani Mpumbavu ) kama Mesehomie na OscarkambonaJr basi usiwe unapoteza muda wako Kufungua na Kusoma Threads zangu hapa JamiiForums kwani 100% ya Threads zangu huwa natoa Ujumbe Kuntu kwa Jambo husika huku nikitumia namna ya Kipekee hasa ya Kimafumbo, Utani na hata Sanifu vile vile.

Na ukiona Mtu ( Member ) yoyote anamkubali GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( ukiwemo Wewe Mkuu ) basi jua ya kwamba una AKILI SANA na UMEBARIKIWA MNO.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented,. Charisma Fella, Game Changer and Entertainer" na The King pia.
bhangi
 
Back
Top Bottom