Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu kwema? Pasaka inaenda vyedi? Wenye mko kwenye mfungo, swaumu njema.
Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni.
Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la wiki linaishi siku mbili limesogea sana siku tatu, unaweka bando ya mwezi wiki ya pili huna kitu, hii sio sawa!
Wenzetu wenye gharama nafuu kwenye bando wana nini mpaka sisi tushindwe kupata huduma hii kwa gharama nafuu.
Serikali huwa iko vizuri kutonesha wenye kufanya vitu kwa gharama kubwa (japokuwa ufananisho huo huwa ni takataka na hauna msingi wowote) linapofika kwa wanaotoa huduma kwa gharama nafuu huwaoni!
Nikipiga hesabu hapa haraka haraka ningekua na seti ya almasi/diamond matata (for the love of gems
), kwa upande mwingine ningekuwa na ka IST kanapiga mishe za bolt huko kijana wa Kitanzania angekuwa amejipatia ajira hapo kuendesha familia yake!
Ukweli ni kwamba serikali mnatudhulumu, Waziri Nape unatudhulumu!
Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni.
Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la wiki linaishi siku mbili limesogea sana siku tatu, unaweka bando ya mwezi wiki ya pili huna kitu, hii sio sawa!
Wenzetu wenye gharama nafuu kwenye bando wana nini mpaka sisi tushindwe kupata huduma hii kwa gharama nafuu.
Serikali huwa iko vizuri kutonesha wenye kufanya vitu kwa gharama kubwa (japokuwa ufananisho huo huwa ni takataka na hauna msingi wowote) linapofika kwa wanaotoa huduma kwa gharama nafuu huwaoni!
Nikipiga hesabu hapa haraka haraka ningekua na seti ya almasi/diamond matata (for the love of gems
), kwa upande mwingine ningekuwa na ka IST kanapiga mishe za bolt huko kijana wa Kitanzania angekuwa amejipatia ajira hapo kuendesha familia yake!Ukweli ni kwamba serikali mnatudhulumu, Waziri Nape unatudhulumu!