Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

Angalia usije ukajistukia uko milembe.
Ukitaka kupata stress zaidi kuliko hela ya bando, pigia hesabu nauli unazotumia kila siku.
Kwanini ujishtukie kudai haki? Gharama ya bando haitakiwi kuwa kubwa kiasi hiki kiasi cha watu kushindwa kumudu
 
Na ukihesabu magunia ya unga uliokula Kwa mwaka na ya Mchele je vip mafuta hahaha vitu vingine sio vya kuhesabu
 
Back
Top Bottom