Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

5000 x 365 x 5 = 9,125,000
Muda mwingine hili bando halitoshi.

Anasa sana watuletee fiber huku maporini. Hivi kuna Kampuni binafsi ya internet ya hapa tanzanyía inayofanya research kweli.
 
Sa me inanisaidia nini na bando nalitumia kwenye mishe zangu huko?
😂🤣😁😁😁😁😁 Si unarudi home pia kutumia internet 😂😁 au tumia postpaid ya Airtel au haloteli ya tigo ni kausha damu usipolipa unawekewa bili 😂😁
 
Mimi kwa kweli ningekuwa nishanunua kiwanja Vikindu au Viwege na kuhamia kabisa. Bando la mwezi au wiki kila siku tunanunua mara mbili.
 
😂🤣😁😁😁😁😁 Si unarudi home pia kutumia internet 😂😁 au tumia postpaid ya Airtel au haloteli ya tigo ni kausha damu usipolipa unawekewa bili 😂😁
Sasa kwanini usilipe? Huo nao ni wizi kama wizi wengine.
Watu wa Dar mna tabia za ajabu ajabu
 
Tulichotumia hatuhesabu, tunahesabu kilichobakia.

Kila mwezi 30k, no regrets!
 
Sasa kwanini usilipe? Huo nao ni wizi kama wizi wengine.
Watu wa Dar mna tabia za ajabu ajabu
Nilipie bili yamekuwa maziwa hayo dada depoo Bora nitumie postpaid yangu ya Airtel au nilipie 70 k yangu nitizame movie na series za kutosha 🤣😁😁😁
 
Anasa ni zako mwisho unaanza kulialia.
Ukimaliza kuwaza hivyo anza kukumbuka times ulizoenda toilet mpaka sasa ushashusha tani ngapi within 5 yrs
Halafu wewe ndio unategemea uishi mazuri pamoja na kizazi chako? Hopeless kabisa! Ni haki yako kuwasiliana na kwa gharama nafuu, wala si hisani
 
1,000x30x12 = 360,000

360,000 x 5 = 1,800,000

Milioni 1.8 kwa miaka 5 hela ndogo sana hiyo ukilinganisha na burudani, elimu na taarifa ninazopata mtandaoni.
Mwenzetu unaishi wapi kwenye harama nafuu hivi? Bando ya buku ukikonyeza tu limekata
 
Back
Top Bottom