Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Tumia post paid ya halotel au Airtel na tigo Hivi vya buku 3 wanaiba pesa zetuNdio maana inabidi iwe gharama nafuu kwa mtanzania yoyote kumudu, sababu ni huduma muhimu, GB 1 kwa sh. 3000 sio sawa, huu ni zaidi ya wizi
Sa me inanisaidia nini na bando nalitumia kwenye mishe zangu huko?Ndio dada yangu
ππ€£πππππ Si unarudi home pia kutumia internet ππ au tumia postpaid ya Airtel au haloteli ya tigo ni kausha damu usipolipa unawekewa bili ππSa me inanisaidia nini na bando nalitumia kwenye mishe zangu huko?
Sasa kwanini usilipe? Huo nao ni wizi kama wizi wengine.ππ€£πππππ Si unarudi home pia kutumia internet ππ au tumia postpaid ya Airtel au haloteli ya tigo ni kausha damu usipolipa unawekewa bili ππ
Nikirudi home, ni kula kupumzika. Sio tena kuhangaika na mikaziππ€£πππππ Si unarudi home pia kutumia internet ππ
Nilipie bili yamekuwa maziwa hayo dada depoo Bora nitumie postpaid yangu ya Airtel au nilipie 70 k yangu nitizame movie na series za kutosha π€£πππSasa kwanini usilipe? Huo nao ni wizi kama wizi wengine.
Watu wa Dar mna tabia za ajabu ajabu
π€£πππUangaliii Netflix ππNikirudi home, ni kula kupumzika. Sio tena kuhangaika na mikazi
Library za movie zipoπ€£πππUangaliii Netflix ππ
π€£ππππLibrary za movie zipo
External 1TB bei ndogo sana
NI huzuni kwakweliHizi 70 k nazo walipa Airtel now ningebakisha ningenunua subaru
Ukikaa kimya sababu haikuumizi unatokosea Mkuu, na wanaotupazia sauti watochoka, tuanze kuishi kwenys kichaka ambako kila mtu anajifanyia atakaloTuishi tu.
Halafu wewe ndio unategemea uishi mazuri pamoja na kizazi chako? Hopeless kabisa! Ni haki yako kuwasiliana na kwa gharama nafuu, wala si hisaniAnasa ni zako mwisho unaanza kulialia.
Ukimaliza kuwaza hivyo anza kukumbuka times ulizoenda toilet mpaka sasa ushashusha tani ngapi within 5 yrs
Mwenzetu unaishi wapi kwenye harama nafuu hivi? Bando ya buku ukikonyeza tu limekata1,000x30x12 = 360,000
360,000 x 5 = 1,800,000
Milioni 1.8 kwa miaka 5 hela ndogo sana hiyo ukilinganisha na burudani, elimu na taarifa ninazopata mtandaoni.
πΉπΉπΉNa sisi wanywa bia tusemeje.
Ulimaanisha nini chawa? Kudemand huduma bora ni kukufatilia?Ishi unavyotaka usitufuatilie
Viwanda vimeingiaje tena hapa Mkuuπ?ππππ aone anaweza kufungua viwanda vya kuzalisha umeme vingap