CCM wanawaza kuiba kura tu muda huuHii ni dharau kubwa sana Kiinchi kama Singapore kuizidi uchumi jumuiya nzima.
Hii ngoma umeipiga kwa nguvu nusura isambaratike, tulia man, punguza hasira, tutafute furaha kwanza, hizo gdp siyo issue sana.Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki
●Tanzania
●Kenya
●Uganda
●Rwanda
●Burundi
●Somalia
●D.R.C
●South Sudan
Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore.
Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga manane yana ukubwa wa 5Mkm² na population ya zaidi ya watu 300M.
Hakuna kitu Singapore anacho haya majinga manane hayana kuanzia rasilimali na kila kitu tena yameizidi kiinchi kidogo cha Singapore kwa utitiri wa rasilimali lakini yamebaki kuwa majinga ya mwisho.
Mind you Singapore ina GDP nominal ya 500+Bln lakini haya majinga manane yamekumbatia umasikini pamoja na utitiri wa rasilimali walizonazo.
Angalia upuuzi wao yote kwa pamoja yana GDP nominal isiyozidi 300Bln kwa hesabu ya haraka haraka yanaweza ingia mara mbili kwa kijinchi kama kama Singapore ambako ukubwa wake unafukuziana na ukubwa wa Kigamboni.
Yaani Singapore ina ingia mara 7,400 kwa EAC lakini ina uchumi mkubwa karibu mara mbili ya uchumi wa jumuiya nzima na hapo Singapore haina rasilimali zozote za hata kuwasogelea hawa wajinga wanane.
Umasikini wa Afrika ni kutokana na ukosefu wa akili sawa hakuna kingine zaidi ya hicho maana hakuna kitu ambacho hatuna wengine wanacho tofauti na akili sawa.
Kwenda huko shangingi mkubwa, una aibu wewe? Chawa takatakanaona aibu kabisa!
Tena makubwa!! Unasemaje?Usitutukane majinga
Mh!Kwenda huko shangingi mkubwa, una aibu wewe? Chawa takataka
Kama akili zetu ni za kusingiziana kesi na kulimbikiza mali za umma na kung'ang'ania madaraka kweli tutawezana na haoUkikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki
●Tanzania
●Kenya
●Uganda
●Rwanda
●Burundi
●Somalia
●D.R.C
●South Sudan
Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore.
Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga manane yana ukubwa wa 5Mkm² na population ya zaidi ya watu 300M.
Hakuna kitu Singapore anacho haya majinga manane hayana kuanzia rasilimali na kila kitu tena yameizidi kiinchi kidogo cha Singapore kwa utitiri wa rasilimali lakini yamebaki kuwa majinga ya mwisho.
Mind you Singapore ina GDP nominal ya 500+Bln lakini haya majinga manane yamekumbatia umasikini pamoja na utitiri wa rasilimali walizonazo.
Angalia upuuzi wao yote kwa pamoja yana GDP nominal isiyozidi 300Bln kwa hesabu ya haraka haraka yanaweza ingia mara mbili kwa kijinchi kama kama Singapore ambako ukubwa wake unafukuziana na ukubwa wa Kigamboni.
Yaani Singapore ina ingia mara 7,400 kwa EAC lakini ina uchumi mkubwa karibu mara mbili ya uchumi wa jumuiya nzima na hapo Singapore haina rasilimali zozote za maana hata kuwasogelea hawa wajinga wanane.
Umasikini wa Afrika ni kutokana na ukosefu wa akili sawa hakuna kingine zaidi ya hicho maana hakuna kitu ambacho hatuna wengine wanacho tofauti na akili sawa.
Yupo sahihi majinga mananeHahaha eti ' haya majinga manane!' hakika mkuu umetunyea wana EAC!