Ngoja nikusaidie kitu we taahira na hiki utakuwa unakisikia kwa mara ya kwanza.
Civil servants wengi ni majizi pamoja na watu wa usalama.
Magufuli akaona hawezi vunja institutional culture yao ya tamaa kirahisi.
Akaja na plan ukiweza kufichua ufisadi unaotaka kupigwa serikalini na kuokoa nchi hela, ukiweza kufichua michezo ya kukwepa kodi, ukiisaidia nchi kwa namna yoyote kuokoa hela zake.
Wewe utakae ibua hayo madudu na kweli nchi ikaokoa hela au kuongeza mapato. Kitu cha kwanza unachagua holiday ya kwenda kula bata popote duniani kwa week mbili wewe na mkeo. Pili ukirudi unapewa commission katika hela ulizookoa malipo mpaka billion na ushee.
Ndio ilikuwa njia ya maafisa usalama kupata utajiri kipindi cha Magufuli, win win situation serikali inapata uzalendo wa maafisa wake, watu wanafanya kazi, usalama wanapata utajiri wanaoupenda, serikali inapunguza ubadhirifu na ufisadi.
Now tell me hizo akili za genius
Halafu siko mbali na ID yako hii pia kuipeleka kwenye ignore list