Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Taahira wewe, toka jana nimekueleza kuita watu wengine wanyonge na mafukara kwanza sio ustaarabu pili ni tabia ya mtu aliekulia kwenye dhiki (sikukosea).Sikukosea kukuita mnyonge, yaani comments zako zote zinawaza umasikini. Mara eti sina uwezo wa kununua bando mara sijui nini, yaani akili yako muda wote unawaza umasikini tu, ukiambiwa wewe ni mnyonge unabisha. Anyway tuishie hapa
Nimeku-ignore jana unarudi tena leo (halafu nisha ignore ID zako kibao) kama hujui tabia aijifichi unakuaga na akili za kisakapoko fulani na mlugaluga fulani.
Hujui watu umekazana kuwapa labels halafu za madharau, jirekebishe hizo tabia sio ustaarabu kuita watu mafukara, ungekuwa umelelewa nyumba ambayo miło mitatu guarantee basi wazazi wako wangekufunza ni taboo kuita wengine maskini kwa jamii yetu ukijipata.