Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

Unatetea ujinga ni nchi ngapi kubwa duniani zimeendelea kuliko manchi ya Afrika.

Chawa
Nchi za Africa zinaendelea Hazina umri sawa na hao.

Nikuulize unadhani Kwa nini Nchi za Afrika haziendelei kama Hizo Nchi kubwa? Nataka sababu
 
Akili zako ni hadithi za kuokota mitandaoni.

Vinginevyo nenda kaongee na kina DC Athumani walivyopata nafasi za DGIS ni kazi ndio kitu ambacho Magufuli alichokuwa anataka.

Hizo stress za babu yako confused old man serikali ya wakati huo ilishamjibu hela zilikuwa re-allocated kwenye manunuzi ya ndege.
Nikuulize tu hivi hata bei ya hizo ndege unaijua? Sawa la kufukuzwa kwa CAG ni swala la mitandaoni? Kivuko feki alichonunua na kukihamishia jeshini ili mtu yeyote asikiongelee pia ni swala la mtandaoni? Kujenga International Airport Chato ni swala la mtandaoni? Huyo alikuwa mwizi kama wezi wengine. Sema nyie mnaojiita wanyonge ndiyo aliwatumia kufanya yake. Alikiwa akiwaita wanyonge mnafurahi na kubinuka huku yeye anapiga pesa
 
Umekadhana kuniita mnyonge halafu ukitoka hapo unaenda changia mada za kulalama bando la tsh 2000 linaisha haraka.

Ushaona mi nalalamika kupanda kwa bei ya kitu humu? Hata kuweka video za dakika tano humu uwezi wewe ni picha za instagram tu bando kwako mtihani.

Taahira wewe
 
Cha ajabu wewe mjinga unakula chakula fresh kutoka kwenye hayo mashamba ya wajinga, unakunya kwenye nyumba zilizojengwa na wajinga, unapita barabara zilizojengwa na wajinga, unatibiwa kwenye hospitali Za hao wajinga,
Ukivamiwa una report na vituo vya hao wajinga

Hivi wewe ni mjinga kiasi gani? Huna shukrani mjinga🥶
Nchi ya wajinga, kila aliyemo na kila kilichopo na kila kifanyikacho humo ni cha kijinga, wakulima wajinga, wanasiasa wajinga, waalim wajinga, ma dr wajinga, yaani ni full ujinga
 
Na Singapore ina bandari kubwa ambayo hata Marekani hawana

Moja ya busiest ports in the world

Iliwahi kuwa ya kwanza miaka ya nyuma kwa sasa ya pili kwa ukubwa duniani baada ya bandari ya Shanghai
​
 
Umekadhana kuniita mnyonge halafu ukitoka hapo unaenda changia mada za kulalama bando la tsh 2000 linaisha haraka.

Ushaona mi nalalamika kupanda kwa bei ya kitu humu? Hata kuweka video za dakika tano humu uwezi wewe ni picha za instagram tu bando kwako mtihani.

Taahira wewe
Nimekuuliza bei ya hizo ndege unaijua? Acha kwenda kwenye mambo yasiyo kuhusu.
 
Nimekuuliza bei ya hizo ndege unaijua? Acha kwenda kwenye mambo yasiyo kuhusu.
Acha obsession na watu humu usiowajua.

Yaani wewe taahira ujue bei ya ndege mimi nisijue.

Unajua utaratibu wa kununua ndege mpya kama dreamliner? (una uwezo wa kujibu hilo swali miaka 800). Low life scum tu, listen usinipeleke kwenye michango ya kuleteana dharau humu kwa level yako ya maisha.

Hili ni jukwaa la siasa wewe kama unaziki deal nazo kivyako humu hakuna status ni politics only, achana kuleta tabia zako za kimaskini kwenye jukwaa.
 
Ni rahisi sana mi govern Nchi ndogo kuliko Nchi kubwa.

Sababu ni nyingi sana zinazaeza toa nafasi Kwa Nchi kama Singapore kuendelea , miongoni mawazo ni location yake na geopolitics
Kwa hiyo ccm imefail kwa sababu Tanzania ni kubwa au inahitaji muda zaidi kuleta Maendeleo?
 
Na Singapore ina bandari kubwa ambayo hata Marekani hawana

Moja ya busiest ports in the world

Iliwahi kuwa ya kwanza miaka ya nyuma kwa sasa ya pili kwa ukubwa duniani baada ya bandari ya Shanghai
​
Wasingapore wana akili sana sio sisi huku ujinga tu umejaa.
 
Ni rahisi sana mi govern Nchi ndogo kuliko Nchi kubwa.

Sababu ni nyingi sana zinazaeza toa nafasi Kwa Nchi kama Singapore kuendelea , miongoni mawazo ni location yake na geopolitics
Kwa maelezo haya unamaanisha ni rahisi kuongoza Tanzania kuliko US, Russia, China na India?
 
Acha obsession na watu humu usiowajua.

Yaani wewe taahira ujue bei ya ndege mimi nisijue.

Unajua utaratibu wa kununua ndege mpya kama dreamliner? (una uwezo wa kujibu hilo swali miaka 800). Low life scum tu, listen usinipeleke kwenye michango ya kuleteana dharau humu kwa level yako ya maisha.

Hili ni jukwaa la siasa wewe kama unaziki deal nazo kivyako humu hakuna status ni politics only, achana kuleta tabia zako za kimaskini kwenye jukwaa.
Sikukosea kukuita mnyonge, yaani comments zako zote zinawaza umasikini. Mara eti sina uwezo wa kununua bando mara sijui nini, yaani akili yako muda wote unawaza umasikini tu, ukiambiwa wewe ni mnyonge unabisha. Anyway tuishie hapa
 
Nchi ndogo Singapore?
Umekaa Singapore harbour ukaona meli zinaingia na kutoka bandarini every five minutes? PRECISELY FIVE MINUTES 24-7..
Likewise Airport.
Take -off and landings every five minutes.
 
Huyo no 1 siyo mjinga I bet ungemtoa kabisa kwenye hiyo list.... coz yeye ni Mpumb*v kabisaa.
 
Nchi ndogo Singapore?
Umekaa Singapore harbour ukaona meli zinaingia na kutoka bandarini every five minutes? PRECISELY FIVE MINUTES 24-7..
Likewise Airport.
Take -off and landings every five minutes.
Singapore ni nchi ndogo tena ndogo sana inafanana ukubwa na wilaya nyingi tu hapa nchini.

Kuwa na wingi wa meli au ndege hilo ni suala lingine kabisa lakini huwezi fananisha kanchi kenye ukubwa wa 735km² na jumuiya yenye ukubwa wa 5Mkm² hapa mmoja ni mwehu kuweza kuzidiwa na kiinchi ambacho mpaka ukione kwenye ramani ya dunia ni mpaka uvae miwani.
World-Data-Locator-Map-Singapore.jpg
EAC_Map_8_Partner_States.png
 
Back
Top Bottom