Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki
●Tanzania
●Kenya
●Uganda
●Rwanda
●Burundi
●Somalia
●D.R.C
●South Sudan

Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore.

Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga manane yana ukubwa wa 5Mkm² na population ya zaidi ya watu 300M.

Hakuna kitu Singapore anacho haya majinga manane hayana kuanzia rasilimali na kila kitu tena yameizidi kiinchi kidogo cha Singapore kwa utitiri wa rasilimali lakini yamebaki kuwa majinga ya mwisho.

Mind you Singapore ina GDP nominal ya 500+Bln lakini haya majinga manane yamekumbatia umasikini pamoja na utitiri wa rasilimali walizonazo.

Angalia upuuzi wao yote kwa pamoja yana GDP nominal isiyozidi 300Bln kwa hesabu ya haraka haraka yanaweza ingia mara mbili kwa kijinchi kama kama Singapore ambako ukubwa wake unafukuziana na ukubwa wa Kigamboni.

Yaani Singapore ina ingia mara 7,400 kwa EAC lakini ina uchumi mkubwa karibu mara mbili ya uchumi wa jumuiya nzima na hapo Singapore haina rasilimali zozote za maana hata kuwasogelea hawa wajinga wanane.

Umasikini wa Afrika ni kutokana na ukosefu wa akili sawa hakuna kingine zaidi ya hicho maana hakuna kitu ambacho hatuna wengine wanacho tofauti na akili sawa.
Kitendo cha kuwa na population kubwa ya kuzaana hovyo tayari ni umaskini
 
Hii ni dharau kubwa sana Kiinchi kama Singapore kuizidi uchumi jumuiya nzima.
eeh we angalia kama unashiba, huo uchumi umeujulia wapi? marekani ina gdp kubwa ndo iko na mateja lundo, ukienda chicago yanasaula mchana kweupe, katika dira ya taifa kuna mpango wa kugawa wali kila kaya hicho ndo chamsingi
 
Cha ajabu wewe mjinga unakula chakula fresh kutoka kwenye hayo mashamba ya wajinga, unakunya kwenye nyumba zilizojengwa na wajinga, unapita barabara zilizojengwa na wajinga, unatibiwa kwenye hospitali Za hao wajinga,
Ukivamiwa una report na vituo vya hao wajinga

Hivi wewe ni mjinga kiasi gani? Huna shukrani mjinga🥶
 
Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki
●Tanzania
●Kenya
●Uganda
●Rwanda
●Burundi
●Somalia
●D.R.C
●South Sudan

Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore.

Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga manane yana ukubwa wa 5Mkm² na population ya zaidi ya watu 300M.

Hakuna kitu Singapore anacho haya majinga manane hayana kuanzia rasilimali na kila kitu tena yameizidi kiinchi kidogo cha Singapore kwa utitiri wa rasilimali lakini yamebaki kuwa majinga ya mwisho.

Mind you Singapore ina GDP nominal ya 500+Bln lakini haya majinga manane yamekumbatia umasikini pamoja na utitiri wa rasilimali walizonazo.

Angalia upuuzi wao yote kwa pamoja yana GDP nominal isiyozidi 300Bln kwa hesabu ya haraka haraka yanaweza ingia mara mbili kwa kijinchi kama kama Singapore ambako ukubwa wake unafukuziana na ukubwa wa Kigamboni.

Yaani Singapore ina ingia mara 7,400 kwa EAC lakini ina uchumi mkubwa karibu mara mbili ya uchumi wa jumuiya nzima na hapo Singapore haina rasilimali zozote za maana hata kuwasogelea hawa wajinga wanane.

Umasikini wa Afrika ni kutokana na ukosefu wa akili sawa hakuna kingine zaidi ya hicho maana hakuna kitu ambacho hatuna wengine wanacho tofauti na akili sawa.
Umasikini wa mtu mweusi umeanzia kichwani.
 
Ni rahisi sana mi govern Nchi ndogo kuliko Nchi kubwa.

Sababu ni nyingi sana zinazaeza toa nafasi Kwa Nchi kama Singapore kuendelea , miongoni mawazo ni location yake na geopolitics
 
Jinga la kwanza ni mtoa mada na mbulula wengine wanaoshangilia ujinga wao.

Ukiuliza wao wamefanya nini kuchangia Uchumi utasikia Serikali,🚮🚮
Sisi kama wananchi tunalipa kodi,ulitaka tufanye nini cha ziada? Mnatukamua kodi kila kona
 
Back
Top Bottom