Ukikuta begi limetelekezwa limejaa maburungutu ya pesa liache kama lilivyo, usijizidi akili kujiona mjanja ukimbie nalo

Mbona simpo sana, toa hela zote kwenye begi zitumbukize kwenye pipa lenye maji. Begi choma moto, Gps haifanyi kaz ndani ya maji, chambua noti moja moja kama tahadhali ukiipata device katupe chooni. Game over
 
Funga gps bag lako, litie pesa Kisha njoo mbele yangu liangushe Kwa makusudi then uanze ku track hilo bag lako uone kama utalipata
 
Yani lorry kubwa kabisa kinafungwa GPS tracker hiyo,watu wanapita nalo kama kawaida.

Sembuse hako ka bag.
 
Hakuna nchi inayoongoza kwa robbery kama USA na huko wana kila aina ya teknolojia ila wahuni wanapita nazo tu.

Wizi mkubwa wa magari ya kifahari hutokea USA na gari likishaibiwa halipatikani tena mpaka tunakuja kuuziwa huku Africa kwa bei chee.
 
Pesa nachukua, beki linabaki hapo
 
Sasa wanaloliacha hapo wanaliacha ili iweje ?!!!

Kama wewe ndiwe nashauri uache utakuja kulia na kusaga meno...

Mfano nalichukua alafu nachukua pesa robo tatu naweka kando alafu napeleka polisi na vijisenti vilivyobaki..., hapo utanishukuru au kunisingizia kwamba nimeiba ? (Slander and Defamation) !!!
 
Huu utapeli ulikuwa enzi zile za zama za mawe mtu anatupa wallet alafu ukiokota anakuja mtu kwa nyuma anasema muende chocho mkazigawane mkifika huko anatokea polisi na mwenye mali ili kuwaachia mnatoa hongo kumbe wote hao wamekuzunguka....
 
Huyu analeta habari za kitoto. Na anaefanya hivyo anakuwa analenga nini?
 
Hakuna nchi inayoongoza kwa robbery kama USA na huko wana kila aina ya teknolojia ila wahuni wanapita nazo tu.

Wizi mkubwa wa magari ya kifahari hutokea USA na gari likishaibiwa halipatikani tena mpaka tunakuja kuuziwa huku Africa kwa bei chee.
wengi wanakamatwa hadi wezi wa baiskali zilizofungiwa gps, wizi wa Us inabidi utumie teknolojia za kisasa ama iwe inside job, ukiiba kichwa kichwa unadakwa kama panya
 
ushauri wako mzuri,tuna uheshimu...GPS my foot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…