Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
 
Wahandisi ambao ni ma jobless ni wengi ukisema utembeze makofi mkono utavimba
Yaani mtu mwenye uwezo wa kutoboa mlima kati kati akapitisha daraja hajui afanye mishe gami anakuja kutuuliza sisi hapa jukwaani kweli,
Haya ni matumizi mabaya ya akili,

Tuacheni sisi tuliosoma bachelor of chinese na political science tuteseke mtaani ila sio hawa viumbe
 
Michongo imekua migumu sana, gharama zao pia ni kubwa, hawajitangaz, unadhani unawasaidiaje
 
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
Ramani zilizo kuzidia zirushemo tusaidiage.
 
Michongo imekua migumu sana, gharama zao pia ni kubwa, hawajitangaz, unadhani unawasaidiaje
Hujaelewa point yangu, namaanisha mtu mwenye uwezo wa kujua aweke nguzo za aina gani na daraja lenye uzito flani baharini ili magari yaweze kupita ndio anaweza kushindwa kujua afanye biashara gani kweli??
 
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
Mods sitaki mbadili title,

Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.

Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.

Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,

Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?

Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.

Nawasilisha.
wee kilaza unaongelea mainjinia wa nchi gani? Mainjinia na Elimu ya Tanzania wanatumia theory kuliko practical.

Hao uliowazungumzia wa kuhamisha mito ni wale wa kukodiwa china.

Umeandika pumba kichizi, mainjinia wapo kibao mitaani hata serikali imeshindwa kuwapa mtaji wa kudanganyishia.

Wewe na Serikali yako, wote nyie ni vilaza a.k.a Mbulula.
 
Wapo wahandisi wengi tu mtaani ramani hazisomeki, kwanza kumaliza chuo hakumfanyi kupata kazi kirahisi kwa sababu vyuo vya uhandisi hapa Tanzania vipo vingi kwa hiyo wanaomaliza vyuoni kila mwaka ni wengi kuliko ajira zilizopo mtaani.
 
Unatukana mainjinia wote ambao hawana kazi kisha ktk maelezo yako yamebase kwa civil engineers. Mleta uzi unajua kua kuna mechanical,Water resources,airplanes, information and technologies, computers,electrical, telecom,mining,chemical,petroleum engineers?? ao wote wanahusika na ujenzi?? Kengelez ww
 
Watu mliofeli hesabu mnashida sana
Una uhakika gani kuwa nilifeli hesabu? Kwa taarifa yako hesabu hazikuwahi kunishinda na Advance nilisoma PURE MATHEMATICS kama mbadala wa BAM, siku nyingine uwe na adabu mkuu.
 
wee kilaza unaongelea mainjinia wa nchi gani? Mainjinia na Elimu ya Tanzania wanatumia theory kuliko practical.

Hao uliowazungumzia wa kuhamisha mito ni wale wa kukodiwa china.

Umeandika pumba kichizi, mainjinia wapo kibao mitaani hata serikali imeshindwa kuwapa mtaji wa kudanganyishia.

Wewe na Serikali yako, wote nyie ni vilaza a.k.a Mbulula.
Sawa kipanga
 
Back
Top Bottom