Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Hao sio maengineer.Mbona Wapo Wengi huku Vijiweni tunacheza nao 'Draft' wakimaliza wanakupiga Vizinga vya nauli...!
Eti engineer anakupiga vizinga. Hahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao sio maengineer.Mbona Wapo Wengi huku Vijiweni tunacheza nao 'Draft' wakimaliza wanakupiga Vizinga vya nauli...!
Kama ndio hivyo basi elimu ya uhandisi ipo chini ya kiwangoHaya ni yaleyale ya kwenye kilimo cha kwenye wahatsApp
Mzimu wa DUBE naona umekuacha..Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita baharini, fikiria reli ya mwendokasi kuna njia imepasuliwa kati kati ya mlima.
Hawa majamaa wanahamisha mpaka mito wanajenga daraja kisha wanaurudisha mto unaendelea kutililisha maji kama kawaida,
Hivi ktk hali ya kawaida mtu kama huyu akikufuata akakuambia hana ramani ya maisha unamsaidiaje?
Engineer yeyote akikufuata akakuambia hana mchongo wa kufanya na hajui afanye biashara gani mpige makofi.
Nawasilisha.
Hivi MA anaweza kumuajili CA?Kuna dogo kasema VETA ni mjenzi mzuri na muaminifu
Alipata tenda ya kujenga madarasa mawili akajenga vizuri sana na wasaidizi wake
Siku hizi anapata mpaka tenda za hospitali na watu binafsi kibao
Ngoja nimwambie awaajiri hao ma so called wahandisi wawe hata brick layers wake
Wapo weliopoteza 'network' sasa wanaona aibu kufanya ujasiriamali mdogo mdogo....!Hao sio maengineer.
Eti engineer anakupiga vizinga. Hahaaa
Sisi tunawahoji wao wanasema tunawatukanaHao sio maengineer.
Eti engineer anakupiga vizinga. Hahaaa
Kwanini wasifikirie wakaja na miradi ya ujasilia mali ili wao wawe mfano wa kuigwaElimu na akili: Engineer mwenye akili anaweza kujiongeza na Engineer mwenye elimu pekee, ni mpaka apate ajira ya kile alichosomea
Hao ndio ninaowazungumzia, mtaani ukimuambia mtu wewe ni mhandisi cha kwanza kufikiria ni ujenziUhandisi ulioutaja katika hii 'sredi' ni mmoja tu, umetaja upande wa ujenzi...
Hahahaaa ulitaka nipate A? ili inipereke wapi?Teh!
Kwa hiyo mkuu ulinyonga C ya BAM...
Hao ndio ninaowazungumzia, mtaani ukimuambia mtu wewe ni mhandisi cha kwanza kufikiria ni ujenzi
Hahahaaa ulitaka nipate A? ili inipereke wapi?
Sasa mkuu tunahitaji ututengenezee ramani ya kutoboa maishaSawa mkuu, basi ngoja sisi wahandisi wa mazingira tuendelee kupanda miti na kuzibua mitaro ya majiji 😁😁😁
Wewe ni engineer wa sekta gani?Wewe ni mjinga kabisa.. Na nazan hata neno engineer hulijui kbsa..
Kuna aina mbslimbali za engineer.. Tambua hzo.. Usidhan kila engineer ana deals na barabara..
Na hata cjui kama una elimu hata ya diploma ??kama umeshindwa tambua kuna aina mbalimbali za engineer
hajui analosema anadhani mtu akiwa na skills za kujenga daraja ni basiWatu mliofeli hesabu mnashida sana