Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

Fear of the unknown
 
Wanawake weng wa Kichaga wako Selfish.
Vyao ni vyao ila chako ni chake.

Sasa ukiwa na mahaba nae unakuwa hulioni hilo. Ila siku ukiyumba ndio utajua rang halisi za kwao.
Unategemea na yeye atakubeba na kukuthamini kwa upendo kama ulivyokuwa unafanya wewe kumbe wao hawana huo msamiati moyoni /kichwan kwao.

Ukiyumba/kufilisika hawawez kukaa na ww.

Watakunyanyasa /kukudharau na kukutesa kijinsia (kama ni mpenz wako anakunyima unyumba).

Na pia kama mlikuwa partner kwenye biashara anakutapeli.

Yalimtokea Kaka angu.
 
Dada zetu endeleeni kuwanyoosha hawa watu wa porini hadi wanyooke kama rula
 
Kama wewe sio mchaga usijiingize kuoa mwanamke wa kichaga, utajutaa. Hao ni wa kuwatembezea motoo tu na kuingia mitini acha waoane wao kwa wao.
 
Napiga sana hao kina manka wanatubu tu kila siku
kuoa ntaoa Masai sababu sipendi dish wala antena
 
Umenifanya niwakumbuke MANKA wanne tofauti kama kuna ukweli hivi!!🤣🤣🤣🤣🤣

By the way MANKA ni mtoto wa pili wakike kuzaliwa.
 
Manka na Mkosa wa kwa Madiba yupi afadhali!!??
 
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…