Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Ha ha ha ha
Tena Kimbia Kwa speed ya ngiri mkia juu!!!Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu.
I'm done..
Ha ha ha haManka malizia ya kichwa bado anapumua huku
Yalinikuta....Yelewiiii
Ogopa sana akina MANKAana nin huyo manka?
hiyo mbona wabongo karibia wote tu wako ivyo bila hata kujali ayo makabila, wabongo wengi magumashi mengi ivoivo awe ni msomi au hajasoma wote janjajanja ivoivo. hao makabila ni covers tu.Wanawake weng wa Kichaga wako Selfish.
Vyao ni vyao ila chako ni chake.
Sasa ukiwa na mahaba nae unakuwa hulioni hilo. Ila siku ukiyumba ndio utajua rang halisi za kwao.
Unategemea na yeye atakubeba na kukuthamini kwa upendo kama ulivyokuwa unafanya wewe kumbe wao hawana huo msamiati moyoni /kichwan kwao.
Ukiyumba/kufilisika hawawez kukaa na ww.
Watakunyanyasa /kukudharau na kukutesa kijinsia (kama ni mpenz wako anakunyima unyumba).
Na pia kama mlikuwa partner kwenye biashara anakutapeli.
Yalimtokea Kaka angu.
Ha ha ha ha haKuna Manka mmoja, anajiita 'Manka Paving', kila nikiwa namdinya, mdinyo ukikolea anaanza kulia kimahaba huku akisema 'baby una shilingi ngapi bank?". Sijawahi kumjibu, huwa nikimaliza tu navaa suruali, nasepa.
Wewe Ngosha Mshamba tu wa Buchosa uko au Biharamulo, Utaweza wapi bleed ya Kichaga aisee
Ndio hapo sasaBleed ?