Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

Tena Kimbia Kwa speed ya ngiri mkia juu!!!
 
Manka ni mtoto wa pili wa kike haijalishi ataitwa ivyo au atapewa jina longine so hili bandiko lako baada ya kupigwa kitu kizito halina mantiki.
 
hiyo mbona wabongo karibia wote tu wako ivyo bila hata kujali ayo makabila, wabongo wengi magumashi mengi ivoivo awe ni msomi au hajasoma wote janjajanja ivoivo. hao makabila ni covers tu.
 
Kuna Manka mmoja, anajiita 'Manka Paving', kila nikiwa namdinya, mdinyo ukikolea anaanza kulia kimahaba huku akisema 'baby una shilingi ngapi bank?". Sijawahi kumjibu, huwa nikimaliza tu navaa suruali, nasepa.
 
Ha ha ha ha ha
 
Wewe Ngosha Mshamba tu wa Buchosa uko au Biharamulo, Utaweza wapi bleed ya Kichaga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…