Mi sitamuambia kero za mtaani kwangu mi nitamuambia kero ambayo itaamua matatizo mengi ya nchi hii!, kwanza abane matumizi ya fedha serikalini pili aanzishe vyanzo vitakavyoingiza pesa nyingi serikalini tatu pesa iliyoingia ahakikishe inafanya kazi inavyotakiwa nakutuletea tija kwenye nchi!.
Tena nimuelekeze kabisa pesa atatoa sehemu hizi..
Madini
Biashara hapa akiboresha mazingira ya biashara kuna pesa nyingi mno!.
Kilimo na ufugaji, wasiseme serikali haifanyi biashara!, serikali inaweza Tanzania ina 70% ya ardhi inafaa kwa rutuba kama wao hawawezi wawape wawekezaji wa ndani, pia nchi imezungukwa namaji yakutosha kulia njaa ama ukame ni aibu!.
Utalii hapa siongezi chochote ye mwenyewe anaelewa uzuri katokea Zanzibar!.
Tatu anatakiwa auze watu wake maswala ya ajira yatakoma!, kuuza watu kwa maana hii vijane wafundishwe skills sio tena elimu ya kidubwasha hii imekaa kimchongo sana!, fani ya IT inahitaji watu wengi sana na hawa wakiwa na utaalamu wakutosha wataisaidia nchi hata siku ikukumbwa na attack ya cyber kubwa!, kusema kweli mi nina wasiwasi ipo siku hii nchi tutakuja kulia na technology sikumoja tutalizwa wengi mno, naona kuna holes nyingi watu mpaka leo bado wanalizwa na pyramid scheme hahaha!!..π
Nimechoka kuandika ila akazie hivyo atanishukuru!