Ukikutana na Rais Samia kero gani kubwa utamwambia unayoiona mtaani kwako?

Ukikutana na Rais Samia kero gani kubwa utamwambia unayoiona mtaani kwako?

Wakuu,

Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.

Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?

Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani

Tiririka.
Ya mtaani ni matokeo ya madudu ya ikulu,
Kero ni wizi, ufisadi, wizi, ufisadi, wizi, ufisadi
 
Yeye mwenyewe ni kero
1.Maji
2.Afya

Haya ni maeneo ambayo nchi imeyatatua kwenye majukwaa na kwenye makaratasi.Ila field hali iko vile vile. Hivi unajua hapo Muhimbili unaweza kufa na huku una uwezo wa kulipia matibabu yako. Hiyo foleni ya vipimo.unaenda leo wanakuandikia siku ya kuja kupima na ukishapima wanakuandikia tena tarehe ya kuja kuchukua majibu halafu ndiyo ndiyo upewe tarehe majibu yako kusomwe na daktari.

Quality of health services ni mbovu kupindukia.Yako majengo mengi ya hospitali ila hakuna huduma za afya.

Halafu zile siasa zilizopo kule kwenye kitengo cha private wards ni za 4G. unaishia kuangalia tv na kupulizwa na Ac na kuonwa na wale wanafunzi wa mhimbili.na unapumbazwa as if ni madokta kumbe wamekuja kujifunzia matatizo yako.

Kitengo emergeny tuu ndiyo huwa wanafanya ya maana ukiisha pelekwa wardin tu.ndiyo mwisho wa kupata huduma inayoeleweka
 
Wakuu,

Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.

Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?

Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani

Tiririka.
KATIBA MPYA na Tume huru ya Uchaguzi,.
 
Wakuu,

Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.

Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?

Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani

Tiririka.
Dah! Kwa kweli mtaani kwetu yaani hadi kero hakuna night club hata moja!
 
Wakuu,

Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.

Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?

Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani

Tiririka.
Kero yangu ni uchache wa misikiti na waarabu mitaani kwetu...Pia kutoku pewa maji matukufu ya zamzam licha ya kumpatia muarabu mbuga na bandari milele daima....tulitegemea hadi maji ya kutawazia misikitini yatakuwa ni maji ya zamzam ....pia kero ni wanaume mitaani kwetu na sisi tuvae HIKABU maana ushoga nna matamanio ya wanawake yameongezeka sana tukivaa hikabu itakuwa ni suruhisho
 
Vijana hatuna hela ya kutoa mahari tuowe tunaishia kusema ndoa mbaya kwa saba u hatuna hela.
Hivyo basi mimi kama senior bachelor tungeomba serikali sikivu ya mama watupe hela za mahari tuoe tumechoka na nyeto za mlenda vuguvugu
Ukikutana nae utamwambia hivyo?
 
Back
Top Bottom