Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliaminishwa Mradi wa umeme wa Lufijibukikamilikavtutapunguziwa gharama!Bado ni zilezile huku wateule wako wakisema sisi tunsgharama ndogo,unatuambia Nini wanancnhi wako?,Tukikunyima kura utatulaumu tuwape chandema?!!Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
Mna Bahati mbaya,wazee wanastaafu ,wanapewa Tena ukuu wa board flani!1.Umeme
2. Miundombinu
3. Ajira kwa vijana
Aaaah mkuu..... mbona watu wanaomba sana tuu,humu si sehemu ya kuomba kazi mkuu.
NdioUkikutana nae utamwambia hivyo?
OkNdio
KATIBA mpya na tume huru ya uchaguzi!Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
Awafute chawa wote chamani na Tanzania,chaguzi za boa la mkono itangazwe kuwa adui wa nne wa taifa na kosa lenye adhabu hata ya kunyongwa,anzishe mchakato wa katiba mpya na ile rasimu ya Mzee mtetezi wa Taifa letu Mzee warioba irejee mezani kwa mchakato rasmi kuelekea kupata katiba mpya iliyo bora na kwa manufaa ya watanzania na Taifa la Tanzania.Wakuu,