JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Ya mtaani ni matokeo ya madudu ya ikulu,Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
1.MajiYeye mwenyewe ni kero
Maji na mamlaka za maji.Ni kubambikia madeni na Ankara zisizo halisimnakatiwa nini na mnabambikiwa madeni kivipi?
KATIBA MPYA na Tume huru ya Uchaguzi,.Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
Dah! Kwa kweli mtaani kwetu yaani hadi kero hakuna night club hata moja!Wakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!Yeye mwenyewe ni kero
Utamwambia hivyo ukikutana nae?Yeye mwenyewe ni kero
Ukikutana nae utamwambia hivyo?Aache kulea nchi km Mama wa nyumbani. Kuna kauli zake mfno
'Nendeni mkalitizame' inaniudhi
Utafkiri hana maamuzi
Hapana,sijasema nitamwambia hivyo ila hiyo ni kero kwangu tu!ukikutana nae utamwambia hivyo mkuu?
Kero yangu ni uchache wa misikiti na waarabu mitaani kwetu...Pia kutoku pewa maji matukufu ya zamzam licha ya kumpatia muarabu mbuga na bandari milele daima....tulitegemea hadi maji ya kutawazia misikitini yatakuwa ni maji ya zamzam ....pia kero ni wanaume mitaani kwetu na sisi tuvae HIKABU maana ushoga nna matamanio ya wanawake yameongezeka sana tukivaa hikabu itakuwa ni suruhishoWakuu,
Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii.
Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa mtaa wako utataja kero gani?
Kutuwakilisha kwako ndio ufumbuzi wa kero na matatizo yetu mtaani
Tiririka.
Kufagia au kupiga dekiAwe ananituma bank 🤔
Ukikutana nae utamwambia hivyo?Vijana hatuna hela ya kutoa mahari tuowe tunaishia kusema ndoa mbaya kwa saba u hatuna hela.
Hivyo basi mimi kama senior bachelor tungeomba serikali sikivu ya mama watupe hela za mahari tuoe tumechoka na nyeto za mlenda vuguvugu
Hata sielewi labda tumuulize mtoa mada,maana hata mtoa mada mwenyewe sijui ni nani mimi nimetoka zangu kula nimevamia tu!kwani uzi unahusu nini?