Ukikutana na watu wa Makinikia viongozi ni kama wako JELA la Nje

Ukikutana na watu wa Makinikia viongozi ni kama wako JELA la Nje

Ni lugha imeanza kubadilishwa hii awamu au ni uzee unanisumbua?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hata mimi sijaelewa hapo,kama hakulewa huyu basi atakuwa alizidiwa na usingizi.
 
Uchumi mwepesi inakuja:-

1. Ni kupack bidhaa za nyanya, vitunguu, tangawizi

2. Viwanda vya vyuma bench maingeneer wawaze kutengeneza computer, nyumba za viwanda, magari, umeme

Watu wenye hela hao soon wataleta Wakala zaidi ya 500 mtaani watu waenjoy

Uchumi wa Kati tunafika kirahisi kabisa kama VIPi hawaelewi wafe Tu
Wanatufanyisha kazi ngumu wakati nyepesi zipo

Sera ya hela safi ni kuprint waheshimiwa figure tu

Grupu la watu wazima wenye mvi wamekaa na wanajiita maprofessor wengine halafu wanadanganya watu milioni 60 kama matoto,nachukia mpaka basi mamaeeeee zenu!
 
Uchumi mwepesi inakuja:-

1. Ni kupack bidhaa za nyanya, vitunguu, tangawizi

2. Viwanda vya vyuma bench maingeneer wawaze kutengeneza computer, nyumba za viwanda, magari, umeme

Watu wenye hela hao soon wataleta Wakala zaidi ya 500 mtaani watu waenjoy

Uchumi wa Kati tunafika kirahisi kabisa kama VIPi hawaelewi wafe Tu
Wanatufanyisha kazi ngumu wakati nyepesi zipo

Sera ya hela safi ni kuprint waheshimiwa figure tu

Hapo Gavana yupo usingizini na hiyo ndio ndoto yake au vipi? Halafu hajui hata kama serikali inaliangalia hilo au la.
 
Moja ya dalili za mtu aliyeambukizwa virus vya Corona ni kuwa na akili kama za huyu mtoa mada.

#EmptyBrain
 
Gavana katumia lugha rahisi kulieleza hili nimependa, ila anasahau "seasonality" ili iondoke bei ya petrol ina matter sana maana utalima kwa kumwagilizia and 1$=2300 aliotetea at first kwamba si mbaya !
 
Back
Top Bottom