Ukikutana naye........UTAMUULIZA?

that is kinda name calling, u ar warned! sogeza stress kulee,unataka um-stress Mungu wakati tunamuandalia maswali hapa!

Zaidi ya kujifanya unanijua utanifanya nini??
we unaambiwa kaulize habari za mke wa mungu kule kwa Maxshimba,
kutaka kuonyesha unanijua sana sio issue!! watu wengi tu wananijua itakuwa wewe!!!

Stuka!!!

Mkuu, mi hawa nawapendaga sana!!
kama ananijua so what??
Hata Eliza wa JJ ananijua.

Sina la kukufanya na wewe huna la kunifanya kwa hiyo chapa mwendo tu bwana G, au siyo?

Hivi huyo G ni mumeo nini?

Guys........keep cool meeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!

Hii ni MMU, the home of stress free thinkers....!

Peace and love. AMEN!
 
now, that charles is ccm member! yaani anampamba Mungu,sjui anataka kumuomba nini?
Na Sam je? Mi nahisi atakuwa mtaalam wa kupiga chabo!......

You can Say that again, Shem.

<br />
hahahaha! Mi babu alishaniachia urithi wa pensi nyanya lake.
Hilo hilo navaa sikukuu.
We kabinti, hebu acha ofu topiki. Ntakutia bakora. Hii ni Sredi ya Mungu.
 
hivi kwa nini namisi Charity binti wa sayuni kiasi hiki
 
hivi kwa nini namisi Charity binti wa sayuni kiasi hiki
Hii sasa ndo inaitwa name calling.... siku hizi binti sayuni anabeba mabox bana...
 
<br />
<br />

Na wewe hiyo ni proffession calling...
I hope siyo dhambi kwa Mungu.....

#

Ameenda hija
na wewe hili ndio unamuomba Mungu amlete au unamuuliza Mungu kampeleka wapi
Huyo amesema anaogopa kumuuliza Mungu, akikutana naye anaingia mtini..... Mi bado nahitaji nimwone Mungu nimuulize: Kwanini hata marafiki zangu wanagombana?.....kwanini wanatukanana?.....Kisha ningemuuliza, huyu mtu aliyegundua bia, yuko wapi saa hizi?
 
Yaani wewe unataka uhalalishe sambi sako menyewe
Tena ukimuuliza la bia anaweza kukupiga kwenzi
 
Acha Mungu aitwe Mungu,sidhani kama ningeweza kumuuliza chochote ila nina uhakika kuwa ningemshukuru kwa baraka zake na zaidi ya hapo ningebaki namshangaa!
 
Acha Mungu aitwe Mungu,sidhani kama ningeweza kumuuliza chochote ila nina uhakika kuwa ningemshukuru kwa baraka zake na zaidi ya hapo ningebaki namshangaa!

Kwa nini tuache mungu aitwe mungu?
 
#

Ameenda hija
na wewe hili ndio unamuomba Mungu amlete au unamuuliza Mungu kampeleka wapi

hivi nimemuuliza? mbona sasa umenijibu wewe? nilitaka mchumbaake ndo anijibu, wewe unasema kaenda hija (macca? nako ni kwa wabeba mabox?)
 
Yaani wewe unataka uhalalishe sambi sako menyewe
Tena ukimuuliza la bia anaweza kukupiga kwenzi
Aisee hivi kwenzi la Mungu si ni sawa na Bomu la nyuklia?

Acha Mungu aitwe Mungu,sidhani kama ningeweza kumuuliza chochote ila nina uhakika kuwa ningemshukuru kwa baraka zake na zaidi ya hapo ningebaki namshangaa!
Utashtakiwa kwa kosa la kumshangaa Mungu.......Mungu hatakiwi kushangawa bali kuabudiwa na kusujudiwa...........!
 
ni dhambi kwa mods...

kwa nini wasigombane? kwani hujui wagombanao ndo wapatanao?
 
hivi nimemuuliza? mbona sasa umenijibu wewe? nilitaka mchumbaake ndo anijibu, wewe unasema kaenda hija (macca? nako ni kwa wabeba mabox?)

Hapo nilitaka nijue kama ni swali au ni jibu
Ila nimemsadia Mungu kujibu maana yuko busy kwa sasa
Hijja ameenda kule ambako hawabebi box bana
 
ni dhambi kwa mods...

kwa nini wasigombane? kwani hujui wagombanao ndo wapatanao?
Kwa hiyo nikitaka kupatana na wewe zaidi na zaidi na zaidi ntalazimika kukutwanga makwenzi mpaka uote manundu?
 
ni dhambi kwa mods...

kwa nini wasigombane? kwani hujui wagombanao ndo wapatanao?

Kwa hiyo unaniruhusu nikutwange mangumi na mateke uote nundu halafu ndo tupatane
 
Hapo nilitaka nijue kama ni swali au ni jibu
Ila nimemsadia Mungu kujibu maana yuko busy kwa sasa
Hijja ameenda kule ambako hawabebi box bana

kumbe wewe ni mtumishi?
Iribini kasema anabeba box, wewe kaenda hija....haya sawa
 
kumbe wewe ni mtumishi?
Iribini kasema anabeba box, wewe kaenda hija....haya sawa

Afu Mungu kasema mkamuulize mwenyewe bana maana watumishi wanashindwa kujibu maswali yako ni magumu mno halafu wewe ni mbishi sana
 
Kwa hiyo nikitaka kupatana na wewe zaidi na zaidi na zaidi ntalazimika kukutwanga makwenzi mpaka uote manundu

mi ni rafiki yako? wewe umuulize kwa nini marafiki zako wanagombana
Kwa hiyo unaniruhusu nikutwange mangumi na mateke uote nundu halafu ndo tupatane

kwa lipi sasa? angalia usije ukaota machungwa wewe kisha ndo tupatane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…